Kuna nini miongoni mwa haya?

Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
3,435
4,243
Habari jf
Natumai mpo vema kabisa,, kutokana na mambo machache nitayoyauliza hapa kuhusu suala la dini na imani kwa ujumla ikatokea nitajibiwa vizur pasi na shaka bila kwa wenye kutoa majibu kuegemea upande mmoja, basi nitaondokana na desturi ya kuamini imani moja na kuibeza nyingine,
1. Kuhusu imani ya dini za mababu weusi wa misri na miungu yao zaidi ya 700, ni nini chanzo chake hizo dini na imani zao?
2. Kuna uhusiano gani kati ya historia ya mababu weusi wa Misri na kitabu cha Biblia.
3. Kuna uhusiano gani kati ya historia ya mababu weusi na kitabu cha Quran.
4. Je, ipo historia yoyote inayoeleza kwa ushahidi kuwa Yesu anawafahamu mababu weusi wa Misri na amewaelezea vipi.
5. Je, ipo historia yoyote inayoeleza kwa ushahidi kuwa Mtume Muhammadi anawafahamu mababu weusi wa Misri na amewaelezea vipi.
6. Ikumbukwe historia ya Yesu inaeleza aliishi miaka takriban 30.. Na tumeelezwa machache miongoni mwa mengi yaliyotukia katika maisha yake kipindi cha miaka 30.. Je kuna mengine yaliyobaki katika historia ya maisha yake.
7. Ikumbukwe pia mtume Muhammadi aliishi yapata miaka 63 na tumeelezwa machache miongoni mwa yaliyotukia katika maisha yake je kuna mengine yaliyobaki katika historia ya maisha yake
8. Nasaba ya Yesu hadi leo ipo na wapo wapi miongoni mwao tuwajue.
9. Nasaba ya Mtume muhammadi ipo hadi leo na wapo wapi miongoni mwao tuwajue
10. Kuna lipi katika uwezo wa Quran kimiujiza kwa kuitumia kutoa majini/mapepo na ulinzi dhidi ya wachawi na watu wabaya.
11. Kuna kipi katika uwezo wa Biblia kimiujiza kwa kuitumia kutoa mapepo na Ulinzi dhidi ya wachawi na watu wabaya.
Nahitaji maelezo mazuri na majibu yasiyoegemea upande mmoja.... Tuje na mambo mapya sio yaleyale ya kila siku.

There is no such thing as SOMETHING FOR NOTHING
 
1.Chanzo cha miungu na dini zote ni Ujinga

3.Kuuliza "kuna uhusiano gani kati ya historia ya mababu weusi na kitabu cha Quran"

Ni sawa na kuuliza "kuna uhusiano gani kati ya Mashairi ya chekacheka na The republic ya Plato"

Vitu viwili tofauti
 
Hebu sasa nieleweshe kwa undani niondokane na huo ujinga
 
einstein newton said:
1.Chanzo cha miungu na dini zote ni Ujinga
Toa sababu kiongozi

3.Kuuliza "kuna uhusiano gani kati ya historia ya mababu weusi na kitabu cha Quran"

Ni sawa na kuuliza "kuna uhusiano gani kati ya Mashairi ya chekacheka na The republic ya Plato"

Vitu viwili tofauti
Kwanini?
 
Habari jf
Natumai mpo vema kabisa,, kutokana na mambo machache nitayoyauliza hapa kuhusu suala la dini na imani kwa ujumla ikatokea nitajibiwa vizur pasi na shaka bila kwa wenye kutoa majibu kuegemea upande mmoja, basi nitaondokana na desturi ya kuamini imani moja na kuibeza nyingine,
1...kuhusu imani ya dini za mababu weusi wa misri na miungu yao zaidi ya 700,, ni nini chanzo chake hizo dini na imani zao??
2...kuna uhusiano gani kati ya historia ya mababu weusi wa Misri na kitabu cha Biblia
3...kuna uhusiano gani kati ya historia ya mababu weusi na kitabu cha Quran
4...je ipo historia yoyote inayoeleza kwa ushahidi kuwa Yesu anawafahamu mababu weusi wa Misri na amewaelezea vipi
5...je ipo historia yoyote inayoeleza kwa ushahidi kuwa Mtume Muhammadi anawafahamu mababu weusi wa Misri na amewaelezea vipi
6...ikumbukwe historia ya Yesu inaeleza aliishi miaka takriban 30.. Na tumeelezwa machache miongoni mwa mengi yaliyotukia katika maisha yake kipindi cha miaka 30.. Je kuna mengine yaliyobaki katika historia ya maisha yake
7...ikumbukwe pia mtume Muhammadi aliishi yapata miaka 63 na tumeelezwa machache miongoni mwa yaliyotukia katika maisha yake je kuna mengine yaliyobaki katika historia ya maisha yake
8...nasaba ya Yesu hadi leo ipo na wapo wapi miongoni mwao tuwajue
9...nasaba ya Mtume muhammadi ipo hadi leo na wapo wapi miongoni mwao tuwajue
10...kuna lipi katika uwezo wa Quran kimiujiza kwa kuitumia kutoa majini/mapepo na ulinzi dhidi ya wachawi na watu wabaya
11...kuna kipi katika uwezo wa Biblia kimiujiza kwa kuitumia kutoa mapepo na Ulinzi dhidi ya wachawi na watu wabaya
Nahitaji maelezo mazuri na majibu yasiyoegemea upande mmoja.... Tuje na mambo mapya sio yaleyale ya kila siku
There is no such thing as SOMETHING FOR NOTHING
Mbona hata huyo mungu alicreate universe from nothing??
 
Msaidieni jamani labda anataka kutoka kwenye lile kundi la mzee wetu mkongwe Ngombale
 
Back
Top Bottom