KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,988
- 72,181
habari zenu wana jf..?
Hizi ni fikra zangu juu ya karne zijazo ktk dunia yetu.
SEHEMU MPYA YA MAKAZI YA WATU
kutokana na ongezeko kubwa la watu duniani huenda baadae watu wataanzisha makazi ktk mwezi/sayari nyengine.
lkn pia upungufu wa vitu kama gesi/madini n.k duniani huenda kukamfanya binadamu kuanza kutafuta vitu hivyo ktk sayari nyengine endapo atavibaini kuna uwezekano wa kuanzisha makazi.
KUBADILIKA SYSTEM YA UONGOZI
ktk karne hizo mwanadamu huenda akagundua njia mpya ya uongozi na nzuri zaidi kushinda hizi za sasa na watu kuondokana na siasa/ufalme n.k
KUKUA ZAIDI KWA TECHNOLOJIA
ktk hili huenda mwanadamu akafanya vitu vikubwa zaidi ambavyo kwa miaka hii vinaonekana haviwezekani mfano, kutengeneza chombo cha usafiri chenye kasi kama mwanga/umeme,kutengeneza kifaa cha kufika mpk kwenye jua/nyota..
wewe je unafikiria nini ktk karne zijazo...?