Je JWTZ ina vikosi Vya Airborne??

Eagle One

Member
Dec 28, 2015
88
55
Kati ya vitu ambavyo wamarekani wanajivunia basi ni airborne rangers ..

Hawa jamaa hua wanatua uwanja wa vita kwa kutumia parachute ... Hii inasaidia hata kwa nyakati ambazo adui atakua amezuia njia za kuingilia uwanja wa vita mnashusha airborne divisions kwa parachute..

Kuna mwaka flani katika sherehe za uhuru niliona maafisa watatu wa JWTZ walitua na parachute uwanja wa taifa ..

Je hata sisi wa Tanzania Tuna Divisions Nzima Za Airborne au ni kama vile tu wanajeshi wachache wenye ufundi wa kutua na parachute..
 
Kwenye kikosi cha air defence ipo hiyo unit ambayo ni wanajeshi wachache. Hatujafikia kuwa na kikosi kamili. Nadhani ni kwa sababu ya uhitaji pia kwa maana hatupigani.
 
Kulikuwepo na hiyo kozi miaka ya nyuma ila haikufanikiwa na kikosi chao kilikuwepo kule Zenji ila mwisho wa ilikuwa ni balaa kwa usalama wa nchi. Sasa ivi ni Commando's ndio wanapiga hiyo Airborne.

Kwanini ilikua balaa kwa usalama wa nchi mkuu
 
Kuweni makini maana si mnajua sheria ya makosa ya kimtandao mkuu? Hujui utawaingiza kina nani katika group lako na wana malengo gani
 
Kwenye kikosi cha air defence ipo hiyo unit ambayo ni wanajeshi wachache. Hatujafikia kuwa na kikosi kamili. Nadhani ni kwa sababu ya uhitaji pia kwa maana hatupigani.
Hivi kutopigana ndio tusijihami? Mbona Japan hawapigani na wanakikosi imara
 
Kati ya vitu ambavyo wamarekani wanajivunia basi ni airborne rangers ..

Hawa jamaa hua wanatua uwanja wa vita kwa kutumia parachute ... Hii inasaidia hata kwa nyakati ambazo adui atakua amezuia njia za kuingilia uwanja wa vita mnashusha airborne divisions kwa parachute..

Kuna mwaka flani katika sherehe za uhuru niliona maafisa watatu wa JWTZ walitua na parachute uwanja wa taifa ..

Je hata sisi wa Tanzania Tuna Divisions Nzima Za Airborne au ni kama vile tu wanajeshi wachache wenye ufundi wa kutua na parachute..
Kama ulishuhudia pale taifa hao maofisa nadhani hata yule mc alisema hao ni baadhi tu kati ya wale wengi....maana yake ni kuwa kipo kikosi cha hao watu
 
Yale maneno ya mc ukute ndio wale tu waliopo mc lazima asifie

Back
Top Bottom