Huwa na kawaida ninapomuona kiongozi anayelindwa kuangalia walinzi wake, huwa napenda kwa sababu nawakubali hao watu kwa umakini wao na hadithi tunazosikia kuhusu uhodari wao. Nawapongeza sana kwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni kwamba Binadamu tunapozaliwa tunakuwa na Lugha yetu ya asili ya mawasiliano, licha ya kuwa tunakuwa wadogo, lakini katika udogo huo huo huwa tunawasilia...
hello members!
i trust you are all doing great.
What normally lead us into presumptions and make us conclude things differently regardless of being looking at the same elements?
lets share this...
Ni sauti ya Raisi wa Taifa la Marekani ikigonga kuta za maabara inayoelea angani Yani international Space station iliyo umbali wa km 400 kutoka uso wa dunia na inazunguka mile 5 kwa kila sekunde...
Mara nyingi huzuka mjadala wa umuhimu wa lugha ya kiingereza inapotokea Mtanzania kuhojiwa kwa kiingereza na akawa hajielezi vizuri kama wanavyojieleza ndugu zetu wa mataifa mengine ya kiafrika...
Hii ni kozi kabisa niliisoma ikisema kwamba ukiona unapewa jina la babu yako ni imani ya kale kabisa kwamba wanaokufa huwa wanarudi tena na wewe ndiye yule babu au bibi aliyekufa amerudi ingawa...
Mwalimu Mbobezi wa Saikolojia akiwa anafundisha kuhusu mahusiano, aliwauliza wanafunzi wake. Kwanini tunafokea na kukaripia tunapokuwa tumekasirika? Kwanini watu wanafokeana na kukaripiana kwa...
Ndege ya Urusi iliyofika hivi karibuni Syria ina uwezo wa kupeleleza mamia ya kilometa ndani ya
Uturuki ikitokea kituo cha ndege kilichopo Syria
Kufuatia kufungwa kwa anga karibu na mpaka wa...
Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua...
Inasemekana Kwamba Kuna Tundu Kubwa linalozidi Kutanuka Kila Uchao Angani na wanazuoni wanazidi kuchomba wengine wakienda mbali kabisa kwa kusema ndilo tundu aliloitia Yesu akipaa zake mbinguni na...
Ndoa nyingi huvunjika, na wapenzi wengi huachana kabla hata hawajafunga ndoa. Kabla ya ndoa kuvunjika na wapenzi kuachana hutokea visa vingi vya usaliti, ukigeugeu na chuki.
Mapenzi nini? Mahala...
Is there such as thing as "human nature," and if so, is it accurate to state that it is selfish?
Human nature" is an ill-defined concept. By my best understanding, it can be thought of as a...
Nimetafakari kwa kina zaidi juu ya nguvu iliyopo ktk ubaya(nimejikita kutafsiri dhana ya ubaya kwa kadri jamii zetu zinavyoamini) nikaona dhahiri kuwa kwa kiasi kikubwa ubaya una nguvu zaidi ya...
Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya...
Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza...
Wadau mimi ni mmiliki wa eneo lililo kwenye mradi wa upimaji viwanja ,kwa sasa manispaa imeanza kulipa fidia ambayo wengi wamelalamikia,kumemua hakuna ufafanuzi mzuri kuhusu fidia ..naomba msaada...
Huyu ndie aliaminiwa ni Mungu Mwezi ndio asili ya kuwekwa Alama za Mwezi kwenye Nyumba za Ibada hadi leo hii... ufukunyuzi unaoendelea utaweka wazi kila kitu kuwa Watu wanaabudu Masanamu kwa hisia...
Wataalam kadhaa wa mawasiliano wameonya kuwa application ya Facebook hutumiwa na wadukuzi kusikiliza mazungumzo ya watu muda wote kwa siri kubwa, App hiyo inadaiwa kutumia simu za watu kudukua na...
25 Cutting Edge Firms Funded By The CIA
It's no secret the Central Intelligence Agency has an investment firm that funds startups that could have a big impact for the Agency.
If there is a...
Hawa watu hawaepukiki dadadeki, kila mahali wapo, haya sasa wanasema mjukuu wa Bondia maarufu Mohamed Ali aitwaye Jacob Wertheimer Ali ni Myahudi, kwa kuwa mtoto wa Bondia huyo Maarufu Khaliar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.