Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.
Nini maana ya maisha haya.
mtu amezaliwa leo, kesho anakufa
Mtu anaishi katika jumba leo, kesho anaishi
chini ya ardhi.(mfu)
Mtu anaendesha gari leo, kesho anaendeshwa kwenye ambulance(ajali)...
UPDATE:
Saturday, August 24, 2013 | 1:43 PM
CHINA kumekucha! Sakata la kusafirisha madawa ya kulevya ‘unga' linazidi kulitafuna taifa, safari hii limechukua sura mpya baada ya askari...
i would like to take this moment to give honorable respects and on top maximum congratulations to The Bold.
This is the most intelligent person on JamiiForums,from this man i have got what a huge...
Dunia ya sasa inaendeshwa na Petrol ''Dollar'' Petrol ndiyo inayo determine thamani ya Dollar.
unaweza kujiuliza ni kwanini USA ni super power mpaka sasa hivi na kwanini isiwe Urusi?
wapo...
Sabalkheri wanaJamii Forums!
Ni Jumapili tulivu kabisa iliyo na Neema kwetu binadamu, kama una siha njema ni Jambo la kumshukuru Mungu.Poleni na Ibada na pia poleni ndugu zangu wa Madhehebu ya...
Toka nikiwa mdogo huwa najiuliza swali hili je chanzo cha mmea mhindi ni nini? Na kwanini binadamu Tunapenda sana kuutumia yaani hata ukibadilisha chakula lazima utarudi tu kwenye ugali. Natamani...
Bunduki fupi, nene, nyeusi kutoka Israeli iliyokuwa ikitumiwa na kikosi cha usalama cha rais wa Marekani cha ‘Secret Service’ kabla ya bunduki ya Kibelgiji ya FNP90 yenye uwezo wa kutoboa kinga ya...
Free-Will ,does it really make sense ?
How can there be Free Will if God has already decided in advance who gets hell and who gets heaven with no regard for actual conduct throughout their life...
Kuna hili swala la kusema Mungu kashatupangia kesho yetu ipoje pia anajua wewe utafanya nini kesho kwa mantiki hiyo, Mungu ni muweza wa yote hata sisi atheist kashapanga tusikubali uwepo wake kama...
USHUHUDA WA THEOFLIDA WA YESU : NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI.
Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida...
Last week, President John Magufuli was again an unhappy man with companies who do not pay their taxes.
He made it very clear that the time has come to really toughen up and crackdown on tax...
Naomba kujua kuna watumishi waliondolewa kwenye utumishi ili kupisha zoezi la uhakiki baada ya hilo zoezi kukamilika walilejeshwa sasa imetoka orodha ya watumishi waliohakikiwa ya kila mkoa je na...
Nchi inaporomoka tena kwa kasi, kasi ya ajabu. Imeshaporomoka katika Elimu, Afya,, Kilimo, Ukusanyaji kodi, matumizi ya fedha iliyopo, na mengine mengi.
Hili la uraia ndo litaimaliza nchi yangu...
Wakuu salaam sana. Nimekuwa nikjuliza bila majibu. Huwa Viongozi wanapigiwa mizinga 21 kwa mujibu itifaki. Sasa je, kwa nini ni mizinga 21 na siyo 22 au 20? Naomba mwenye kufaham anijuze
Habari za mchana wanajamvi, kuna jambo naliona na kulifananisha na wizi ambao tunafanyiwa waajiriwa huku waajiri na ma bank wakishilikiana kutuibia, kwa mfano si taasisi binafsi au serikalini...
Habari zenu wana jamvi,
Nimefikiri namna kompyuta inavyofanya kazi, hasa CPU. Kwa ujuzi wangu mdogo nimeona kuna uwezekano CPU ikaonyesha utofauti fulani kuashiria imetumika sana(imefanya kazi...
Kuanzia mwaka 1968 mpaka mwanzoni ya miaka ya 70 taifa kubwa la Marekani lilikubwa na mtu mmoja hatari sana,si mwingine bali ni muuaji tambulishi(serial killer) ambaye yeye kama yeye alipendelea...