Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer, PHDs na Graduates (135 per 10,000).

2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 alipewa ofa ya Urais wa Israel lakini aliona akatae.

3; Ndio nchi nyembamba unaweza kukimbia kutoka mashariki hadi magharibi kwa masaa mawili tu.

4; Dini ya waisrael NETUREI KATA inawaunga mkono wapalestina na inahubiri Israel ivunjwevunjwe kwa amani ili wapalestina wabaki na nchi yao.

5: Baba wa taifa na mwanzilishi wa Israel hii ya leo alikuwa ni ethiest/AAMINI UWEPO WA MUNGU aliitwa David Ben Gulion.

6: Jiji la Yerusalem tangu liwepo, limeshabomolewa na kuharibiwa kabisa mara mbili, kutekwa mara 23, Kuvamiwa mara 52, kutekwa na kukombolewa mara 44 na ni jiji kongwe sana duniani.

7: Chanzo cha uwepo wao ni familia ya jamaa aliitwa YAKOBO aliyekuwa na watoto 12. Familia moja ikazaa taifa.

8: Ni DAVID Ben Gulion founder wa Israel aliyeahidi dunia ataibadili jangwa la Negevu kuwa bustani na kuilisha dunia.

Kwa kuonyesha mfano alienda kuishi jangwani kibbuz sda boker nyumba yake. Leo kibbuz ndio kittovu cha kilimo duniani. Kuna makampuni lukuki ya tech na dunia nzima yanaenda kujifunza kilimo na ufugaji lililokuwa jangwa ambalo waarabu,UN na Uingereza waliliona kama sio kitu.

9: Karibu uchumi wa dunia nzima na matajiri wakubwa duniani ni waisrael. Wanamiliki taasisi lukuki za kipesa. Wao wanaamini Israel ni damu sio ardhi, popote alipo nyumbani kwanza.
 
Last edited:
shukrani kwa elimu

kiboko ya hawa jamaa alikuwa hitler aliwachoma moto uchi vitoto vya israel


Pamoja na kufanya yote lakini;

1: Hakuwahi kutembelea concentration camp ambazo waisrael walitekwa kuteswa na kuuawa hata moja.

2.Mchumba Wake wa kwanza alikuwa muisrael lakini kwa kukosa ujasiri alikuwa anaogopa kumuongelesha mara kwa mara.

3. Daktari Myahudi aliihudumia familia yake bure kabisa kutokana na ukata wa familia yao. Hitler alihakikisha anamuhifadi hadi akamuita myahudi asiye na matatizo / a noble jew.

4: Mtu aliyempendekezea nembo/logo ile iliyotumika na Nazi au jeshi la Hitler alikuwa ni askari wa ujerumani mwenye asili ya uyahudi. Baada ya kugundua ni Muyahudi SS ambayo ni kama bunge la enzi za hitler walimuachia huru.

5: Kabla ya mauaji ya wayahudi, Hitler aliwapa nafasi waingereza na wamarekani kuwachukua wakimbizi wa Kiyahudi nchini mwao lakini walikataa.
 
1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer,PHDs na Graduates (135 per 10,000).

2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 Alipewa ofa ya Urais wa israel lakini aliona akatae.

3; Ndio nchi nyembamba unaweza kukumbia kutoka mashariki hadi magharibi kwa masaa mawili tu.

4;Dini ya waisrael NETUREI KATA inawaunga mkono waparestina na inahubiri israel ivunjwevunjwe kwa amani ili waparestina wabaki na nchi yao.

5:Baba wa taifa na mwanzilishi wa israel hii ya leo alikuwa ni ethiest/AAMINI UWEPO WA MUNGU aliitwa David Ben Gulion

6:Jiji la yerusalem tangu liwepo, limeshabomolewa na kuharibiwa kabisa mara mbili, kutekwa mara 23, Kuvamiwa mara 52, kutekwa na kukombolewa mara 44 na ni jiji kongwe sana duniani.

7:Chanzo cha uwepo wao ni familia ya jamaa aliitwa YAKOBO aliyekuwa na watoto 12. Familia moja ikazaa taifa.
Naona leo umeamua kutupa hizi DISTINCTIVES za mataifa mbalimbali.

Tunashukuru huku tukisubili kwa hamu uchambuzi wa tanganyika yetu
 
Back
Top Bottom