Ukweli kuhusu Mungu na dunia

La Princesa

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
1,040
1,136
Habari zenu wana intelligensia......
Kumekuwa na story nyingi sana kuhusu existence ya Mungu na jinsi dunia inavyopata shida.....hii imesababisha watu wengine kuhisi kuwa hakuna Mungu,ama story za Mungu ni myths zilizotengenezwa nabbinadamu ili dunia iwe sehemu nzuri ya kuishi.

Katika utafiti wangu usio rasmi nimegundua kuwa Munguy yupo na ana UPENDO wa ajabu hata kufikia hatuaa ya kuwa Mwalimu mwema ili tu viumbe vyake tuelewe UPENDO wake kwetu.....

Nimesoma kitabu kinaitwa "dramatic events of the earth "Mwamdishi anasema The earth was created by God-so As to be a SPECTACLES to other Planets and other existing creatures,seen and unseen ones....So Hapa nlichogundua ni kuwa ilikuwa ni Lazima Mungu awaoneshe viumbe vyake jinsi dhambi ilivyo mbaya na matokeo ya dhambi yakoje...Alifanya hivyo kwa sababu Lucifer almaarufu SHETANI alikuwa amekwisha anzisha movement mbinguni kuwa,GOD IS NOT FAIR AND HE NEVER DO DEMOCRACY.....

Due to the mentioned situation Mungu aliamua kuumba sayari ya Dunia iliyokuwa tupu na Uchi,akaweka tunda la katikati ili kuweka the so called Democracy ambayo shetani alikuwa ambayo alikuwa akiihubiri..So Matokeoyyakawa mwanadamu democracy aliyopewa ilimahinda na Mungu alijua Adam Atafail na ndio maanakkifo cha Yesu kiipangwa hata kabla ya dhmbi kutokea,Baada ya anguko la Dunia hapo ndipo sayari zingine na viumbe vingine vilipoona ubaya wa Dhambi na na demokrasia fake ambayo Lucifer alikuwa akiitangaza....

Kwa kumalizia nimegundua kuw Mungu awajua walio wake,kwa sababu ajua mwanzo wako na mwisho wako,ajua utokapo na uingiapo..Zaburi34:1-6,
 
kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba

aya ya mwisho kwa mujibu wa maelezo yako binadamu hata afurukute vipi kuutafuta ufalme wa Mungu bila Mungu mwenyewe kumkubali(maana tayari anawajua walio wake) htaupata?

au ulikua na maana tofauti?
 
Kujua ni sawa na kuamua ? Maisha ni mwendelezo, hivyo kwa mjuzi wa yote at certain point anawajua vinadam wote na kwa matendo yao na matamanio yao.
Lakini yeye siye anayeamua vile wao wanatenda. Japo anajua nini wanawaza na watachotenda.
Vigezo na masharti huzingatiwa
 
mh!.....
 
Hadithi za mungu hazina maana hata kidogo zinajipinga zenyewe sana ...kuzikubali ni lazima ujitoe ufahamu na kuset akili bila kuuliza huyu mungu yuko wapi? kama yeye muweza wa yote iweje awe na ushindani na shetani ...harafu eti adui yake uyo ambaye nae pia atamchoma Hutakiwi kuuliza hayo mambo utakuwa unakufuru ww fata tuu kama kondoo ndo mana wengine mnaitwa wanakondooo
 
ilikiwaje tena akashuka chini kuja kufa kwa dhambi zenu na dhambi za alshabab.

Kuelewa falsafa nyuma ya Kuja kufa ili awe ni sadaka kwa wote inahitaji mtu mwenye uwezo na nia ya kufikiri, lakini kwa watu wanaokariri nitakuwa najaza server kuanza kukufundisha.
 
haha Free ideas.....long time...nipo. siku hizi nimekuwa mvivu kuongea na kubishana. how are you?

Am okay,ukiona hivyo ujue utu uzima unaanza kuingia maana hata mimi nakuwa mvivu sana siku hizi lakini nikiona watu wa mungu wanaweweseka namna hii lazima napita pita
 
Last edited by a moderator:
Hadithi za mungu hazina maana hata kidogo zinajipinga zenyewe sana ...kuzikubali ni lazima ujitoe ufahamu na kuset akili bila kuuliza huyu mungu yuko wapi? kama yeye muweza wa yote iweje awe na ushindani na shetani ...harafu eti adui yake uyo ambaye nae pia atamchoma Hutakiwi kuuliza hayo mambo utakuwa unakufuru ww fata tuu kama kondoo ndo mana wengine mnaitwa wanakondooo

kwikwikwiiiiiiiii😀😀Umeonae
 
Tatizo lenu mnakubali story za kuambiwa zaidi ya kusoma na kufahamu yanayomhusu Mungu

Hiki ulichondika hapa ni hadithi za kusimuliwa na hakuna ukweli wowote kumhusu Mungu

Kitendo cha kuuliza Mungu yupo wapi ni ishara kwamba hujui hata Mungu ni nini!
 
Sure kabisaa,ila inakubidi kufurukuta coz you never know unaweza ukawa mi among the chosen ones
 
Hayo yoote uliyoandika una uhakika gani kuwa yalitokea na unajuaje kuwa ni Mungu ndio aliyeyatamka! Msiwe mnafuata vitu bila evidence,haya letsay ni sahihi kwa hayo uliyoyandika so maana yake ni nini ili iweje?yaani viumbe vingine vijue uongo wa shetani halafu?za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom