Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wewe ni nani? Wewe sio kazi yako unayofanya, wewe sio kundi la watu unalojihusisha nalo. Wewe sio mawazo yako, Wewe sio Akili yako, Wewe sio mwili wako, Wewe sio mtu mwenye furaha, huzuni...
37 Reactions
250 Replies
44K Views
Habari wakuu, natumai wote ni wazima. Napenda kuwaletea thread kuhusu Espionage au Intelligence. Espionage ni nini? Espionage ni kitendo cha kukusanya taarifa au nyaraka muhimu za nchi/taifa au...
26 Reactions
204 Replies
24K Views
CHANZO CHA VIFO VYA USINGIZINI. Waslaam wanajf kisima cha maarifa. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Watu Wengi Sana tumekuwa tukijiuliza kwanini mtu analala usiku halafu asubuhi watu...
3 Reactions
40 Replies
9K Views
Wataalamu hivi pesa za nchi mfano Shilingi yetu huchapishwa nchi gani au ni kampuni gani wanahusika na kuchapisha fedha za mataifa mbalimbali?
0 Reactions
46 Replies
80K Views
Habarini za saa hizi wakuu.. Bila kupoteza muda usiku wa kuamkia leo nimeota natapika mapande ya nyama iliyopikwa na kuna mtu pembeni yangu(simkumbuki) ndiye aliyekuwa ananambia nifanye hivyo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zito akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, amesema kwamba Waziri Karamagi alikwenda kusaini mkataba wa Mgodi wa Buzwagi, London kwa kutumia mfumo wa mikataba wa zamani wakati serikali...
6 Reactions
1K Replies
151K Views
wakuu nawasalimu wote na kheri ya mwaka mpya... Leo naomba kujua kama je inawezekana kwa rais kuitoroka nchi yake kama vile wafanyavo baadhi ya watumishi wa idara za ujasusi? Ninawasilisha....
2 Reactions
33 Replies
4K Views
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani kuna jambo kidogo huwa linasumbua sana kichwa changu! Na sijapata majibu.Hivyo nimeona bora nililete humu labda nitapata msaada. Jambo lenyewe ni hili; ikiwa Adam na Hawa(Eva) ndo chanzo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ripoti ya shirika la wahisani la Save the Children inasema kuwa watoto milioni 700 duniani wamepoteza fursa ya utoto wao, kutokana na sababu mbali mbali kama magonjwa, ndoa za mapema na mizozo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Do Muslims or Arab nations( majority are Muslims) aware of Israel as the choosen Nation of God? Do they? If they do why hating or standing against Israel?? Are they against Almighty God? If they...
3 Reactions
143 Replies
16K Views
Kumekuwa na nchi tofauti hasa zenye uchumi mkubwa kwenda anga za mbali na nyingine kuwa na vituo huko angani kama ilivyo Marekani(NASA). -Mara kwa Mara tumekuwa tukipewa taarifa za mafanikio...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Baada ya kusoma michango ya wanaintelligence mbalimbali na nikagundua umuhimu wa mtu kuishi kiintelligence na kilichonifanya nifikirie zaidi ni namna gani niweze badilisha maisha na kuishi maisha...
17 Reactions
160 Replies
23K Views
Hello JF Fans.! Leo ni siku ya Ibada hasa kwa Wakristo walio wengi, lakini bado kuna ambao hatuwezi kufika Kwenye sehemu za Kusanyiko kushiriki na wenzetu katika Ibada kutona na sababu kadha wa...
9 Reactions
37 Replies
14K Views
Hivi wale panya waliotangazwa kuwa wana uwezo wa kutegua mabomu ni kweli walikuwepo/wapo au au yalikuwa mambo ya wanasia tuuu? Kama wapo kwa nini wasipelekwe Mbagala wakafanye kazi yao? Saidia...
0 Reactions
164 Replies
34K Views
April 21, 2017 Medellin, Colombia Escobar's Hitman. Former drug-gang killer, now loved and loathed in Colombia It is not often that you get to meet a man who has personally taken more than 250...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
TANZANIA YETU IMMORTAL TECHNIQUE (THE 3 rd WORLD) Ukitazama kwa undani utagundua Tanzania ni nchi ambayo haijapiga hatua kubwa za kimaendeleo katika siasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BIBLE’S CONTRADICTIONS 1. Genesis chapter 1 God created adam and eve together Genesis chapter 2 God created adam and then eve later 2. Genesis 2:7 and 2:19 God created a man and then the...
3 Reactions
179 Replies
16K Views
Dk. Ballali kuumbua vigogo Wosia wake wataja walioshinikiza EPA Wanasiasa, wanasheria wauhifadhi Mwandishi Wetu Mei 21, 2008 KIFO cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) Dk. Daudi...
1 Reactions
117 Replies
19K Views
Hamjambo humu ndani? Nawaomba mnielimishe juu ya hii app (TELBOX TANZANIA-inasemekana INA uwezo wa kufuatilia mawasiliano ya mtu yeyote unayetaka kumfuatilia) Nimei download nikataka kuitumia...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…