Nina hofu na kinachotokea Rufiji

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,834
1,053
Ndugu wanajamvi nimeamua kulileta kwenu hili baada ya kukaa Kwa muda nikifikiria kinachotokea katika ardhi ya Pwani.

Mpaka sasa mauaji yanaendelea, mbaya zaid haijulikani. Nn sababu, lengo la muaji na Akina nani wanahusika.

Mwanzon tulihs labda ni viongoz Wa ccm walioshindwa katika uchaguz mkuu kipind cha kula za maoni na kuhisi kuwa wanilipa kisasi kwa watu waliokula pesa zao kipind cha kampeni kwan waliokua wanauawa walikua n viongoz walioshiriki katika kampen za uchaguzi.

Wakanza kuuwawa maofisa wa serikali na watumishi wengine wa serikali. Hili lilinabadilisha mtazamo na kuhis kuwa. Yawezekan kuna wafuas wa vyama vya siasa upande wa upinzani wanacheza huu mchezo lakini kulingana na mfululizo wa matukio umekua tofauti sana na unaonekana u atekelezwa na vikund vilivyokuwa na ujuzi Wa utekelezaj mauaji hii ni baada ya askar Saba wenye silaha kupigwa ambush na kuuwawa wote.

Kuna waliohis labda ni masalia ya wale magaid waliokua wakifanya matukio ya kuvamia vituo vya polisi kupora silaha ambao weng wao walikamatwa huku pwan maeneo ya bupu.

Lakini aina ya matukio po tofauti sana magaidi wa Bupu ingawa walikua na mafunzo na uwezo mkubwa walijitambulisha na walijulikana adhma yao pia walikua wanafanya operation zao Pwani na Dar es salaam.

Wasiwasi unazidi kuona wale watu waliokamatwa bupu walikutwa na zaid million 170 ni hela nying sana walizipata wapi hilo ni swali ambalo mm na wewe tujiulize. Mimi nahis kuna long plan ambayo ipo.

Hawa wanofanya haya kuna mtu kawatuma. Wacha nitoe stori moja kutoka movie moja ya kikorea inaitwa Chuno - The slave hunter;

Kuna mtu alitumwa akajifanya yeye ni mtumwa akaingia katika kundi la watumwa Kwa kuwadanganya kuwa inapaswa wapiganie haki zao wasikubali kunyanyaswa na mabossi wanaomiliki watumwa na serikali. Huyu mtu alifanikiwa kuwashawish watumwa wakawaua watu wengi mabosi na wanasiasa nchi iliingia katika machafuko na walipofanikiwa malengo Yao watumwa walioshiriki katika mauaji waliuwawa wote baada ya kuekewa mtego.

Funzo la hapa inawezekana ikaja kuwa kuna mtu akawatumia watu wenye msongo Wa mawazo na wale waliokata tamaa akawapa saport ya pesa nying na silaha ili watimize kile wanachohisi ni ukombozi kumbe wao wanapambana kumnufaisha mtu ambaye hawamjui hata kwa sura.

Mm siamini Kama watanzania tumeanza kuchukiana kias tuuwane sio CCM sio CHADEMA na sio CUF sio waislam na sio wakristo wote tuna upendo kwa kila mmoja ingawa raia sometimes tunawachukia polis lakin hakuna raia anamchukia polisi akataka polisi auwawe.

Ni akina nani Wanataka watanzania tuanze kuchukiana ili iweje je wanataka Tanzania iwe Kama nch nyingine za maziwa makuu. Je, tatizo n utajiri wa maliasili zilizogundulika kuanzia kiparanganda mpaka Rufiji inatafutiwa sababu mataifa dhalimu yajiingize?

Mimi nina wasiwasi kinachotokea Pwani ni zaid ya vile tujuavyo na si watanzania wanao ongoza haya matukio na sio swala la leo wala kesho kipo kinachotafutwa. Tuombe mungu kisitokee.
 
Mkuu kwa hili, serikali inalazimika kukusanya wataalam wake wabobezi wa upelelezi ili kujua kiini cha tatizo. tulikichukulia pupa tutaliongeza na kughalim uhai wa wengi na raslimali kubwa itapotea
 
Kuna mambo mawili au matatu yanayokera maeneo hayo, angalau kwa.mujibu wa wenyeji wa huko na kwa mujibu wa wengine akina sisi tunaoenda enda huko kutembea. Moja wafugaji wavamizi. Siku za nyuma wa kazi wa kule walipata usumbufu mwingine kutoka kwa wafugaji wahamiaji. Tulishaona sana wakazi wa kule wakiwa wamepigwa na ama na wafugaji au na vyombo vya usalama. Kipindi kile tulikuwa tunaambiwa kuwa wafugaji huswaga mifugo yao kwenye mashamba ya wenyeji na wenyeji wasipokubaliana na hilo hupigwa na vyombo vya usalama ikajulikana vinahongwa na hao wafugaji sababu wafugaji wana hela na wako organized. Wengine tulihisi makubwa yanakuja si siku nyingi zijazo. Hali kama hii ya kero za wafugaji imewahi kutokea Mbeya , morogoro na ikahamia rufiji Kibiti

Mimi nawashangaa wanaoshangaa matukio haya

Ilikuwa yaibuke tu, hamna namna. Bora umnyanyase msomi kuliko kumfanyia hivyo MTU mkulima tena kwake alikokulia na kuzaliwa. Wanaofanya hivi sio Laxima wawe wanakibiti au rufiji , hapana. Wanaweza kuwa watu wa mbali wanaowaona wanakibit rufiji kama wenzao, mfano waisalamu wenzao, na hapa wanachukua kiki kuwa wanawasaidia waislam wenzao

Mazingira maisha ya huko yanavutia kutengeneza Cheche za uvunjifu wa Amani wa aina hii. Hata kama kuna watu wa nje kama wazungu wa nataka kutuchanganya inakuwa si kazi ngumu kufanya hivyo. Mauonevu na marushwa kibao, mfano kwenye vizuizi vya barabarani. Watu wanavilalamikia sana. Tunasoma kwenye magazeti na nashangaa kama mashushushu wetu hawajalishtkia hilo. Hayo mambo hugeuka kero kwa watu. Na mapolis yakipigwa watu hushangilia, aibu kabisa hii.

Na kwanin wasishangilie wakat wanakamuliwa kwa rushes au kubambikiziwa makosa na mauonezi mengine ? Hii aibu wahusika tafadhali iondoeni.

Tulisoma kwenye magazeti kuwa wauaji walipofanya kuua mapolisi watu hapo hapo waliambiwa wachukue vitu vilivyokuwa kwenye hicho kituo cha ushuru. Watu walivichukua na kuishia navyo, hawakuwa na Habari na wana usalama waliouawa. Aibu sana hii. Unaweza kusema wanakijiji hao hawana utu, lakini usisahau hata kidogo kuwa hao watu wa ushuru na mapolisi ndio chanzo cha hayo

Ondoeni kero za watu. Watendaji wa serikali waache mauonevu lasivyo hakuna atakayekuwa salama na wabaya wetu wakitaka kutuchonganisha watafanya hiyo kazi kwa urahisi sana
 
Usihushishe matukio y huko n uislam
 
Mh kaka kuhusisha hili swala la mauaji na matukio ya wakulima na wafugaji na kuutua mzigo Kwa wakulima et wao ndio wahusika Kwa maana kuwa ni wenyej ndio wanawaua viongoz Wa chama na viongoz Wa kisiasa na watumish Wa serikali hili sio kweli hata maana wanaouwawa hakuna a mfugaji hata mmoja wala mkulima Wa kawaida.
Ni kweli watu walishiriki kuchukua vitu pindi kituo kilipovamiwa lakin niseme ukweli hata wale watu Leo ukienda kuwauliza waliwezaje kuyafanya Yale hawatakua na majibu yaliyo sawasawa kwan wengi wao wameuliwa ndugu zao na majamaa zao katika haya matukio ya mauaji inasikitisha ilianza Kama masiala lakin tunakoelekea mm sijui
 
Wakati unajiuliza hayo ulioandika waza na hili "Penye machafuko hapakosi mchafuaji"
Huyu ndie hasa hajulikan maana hata hao mapolis wanapofanya research kulichunguza hili tukio wanapata shida katika selection ya sample na field maana hali ni ngumu hawajui ni wapi waanzie maana maserial killer karibuni wote waliua lakin watu walikua wakifuatilia mauaji hufuatilia historia ya waliouwawa na kukuta kuna conection ya waliouawa katika field moja katika kipind flani cha muda au wapo katika field flan ambayo ina hostility na kikund flan ambacho kinajulikana hata Kama ni cha siri
Sometimes lawama. Zinawaangukia wahanga kuwa wao walisababisha matukio mabaya Kwa wauaji na hicho huwa ni kisasi Chao.
Na kinachobakia huwa n matatizo ya akili ambayo humkumba muuaji akaamua kuua.

Lakin Kwa pwan ya kibit mm sielewi?
 
Kuna mambo mawili au matatu yanayokera maeneo hayo, angalau kwa.mujibu wa wenyeji wa huko na kwa mujibu wa wengine akina sisi tunaoenda enda huko kutembea. Moja wafugaji wavamizi. Siku za nyuma wa kazi wa kule walipata usumbufu mwingine kutoka kwa wafugaji wahamiaji. Tulishaona sana wakazi wa kule wakiwa wamepigwa na ama na wafugaji au na vyombo vya usalama. Kipindi kile tulikuwa tunaambiwa kuwa wafugaji huswaga mifugo yao kwenye mashamba ya wenyeji na wenyeji wasipokubaliana na hilo hupigwa na vyombo vya usalama ikajulikana vinahongwa na hao wafugaji sababu wafugaji wana hela na wako organized. Wengine tulihisi makubwa yanakuja si siku nyingi zijazo. Hali kama hii ya kero za wafugaji imewahi kutokea Mbeya , morogoro na ikahamia rufiji Kibiti

Mimi nawashangaa wanaoshangaa matukio haya

Ilikuwa yaibuke tu, hamna namna. Bora umnyanyase msomi kuliko kumfanyia hivyo MTU mkulima tena kwake alikokulia na kuzaliwa. Wanaofanya hivi sio Laxima wawe wanakibiti au rufiji , hapana. Wanaweza kuwa watu wa mbali wanaowaona wanakibit rufiji kama wenzao, mfano waisalamu wenzao, na hapa wanachukua kiki kuwa wanawasaidia waislam wenzao

Mazingira maisha ya huko yanavutia kutengeneza Cheche za uvunjifu wa Amani wa aina hii. Hata kama kuna watu wa nje kama wazungu wa nataka kutuchanganya inakuwa si kazi ngumu kufanya hivyo. Mauonevu na marushwa kibao, mfano kwenye vizuizi vya barabarani. Watu wanavilalamikia sana. Tunasoma kwenye magazeti na nashangaa kama mashushushu wetu hawajalishtkia hilo. Hayo mambo hugeuka kero kwa watu. Na mapolis yakipigwa watu hushangilia, aibu kabisa hii.

Na kwanin wasishangilie wakat wanakamuliwa kwa rushes au kubambikiziwa makosa na mauonezi mengine ? Hii aibu wahusika tafadhali iondoeni.

Tulisoma kwenye magazeti kuwa wauaji walipofanya kuua mapolisi watu hapo hapo waliambiwa wachukue vitu vilivyokuwa kwenye hicho kituo cha ushuru. Watu walivichukua na kuishia navyo, hawakuwa na Habari na wana usalama waliouawa. Aibu sana hii. Unaweza kusema wanakijiji hao hawana utu, lakini usisahau hata kidogo kuwa hao watu wa ushuru na mapolisi ndio chanzo cha hayo

Ondoeni kero za watu. Watendaji wa serikali waache mauonevu lasivyo hakuna atakayekuwa salama na wabaya wetu wakitaka kutuchonganisha watafanya hiyo kazi kwa urahisi sana
Mkuu sio kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom