Ufisadi wa Tanil Somaiya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa Tanil Somaiya

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by BAK, Apr 28, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,497
  Likes Received: 81,829
  Trophy Points: 280
  Somaiya speaks out on Tanzania gov't scandals
  Monday, 28 April 2008
  By Daniel Said
  EA BUSINESS WEEK


  DAR ES SALAAM, TANZANIA - In a new twist, a top businessman in Tanzania, Mr. Tanil Somaiya who is at the centre of controversy in relation to allegations of his involvement in recent scandals in Tanzania, has broken his silence saying that he has "never done any business with the government."

  Speaking on phone with EastAfrican Business Week in a country he did not like to mention last week, Somaiya said that he was surprised to hear that he has severally been implicated in the scandals involving the presidential jet, military radar, supplying of military trucks and helicopters to Tanzania.

  "Am about 42 years old, with more than 20 years in business, but let me assure you and Tanzanians that I have never in my life done any business with the Tanzania government," the tycoon said.

  Somaiya, believed to have bought about six companies in recent years, said that the monies came from other businesses and not from business with the government.

  "The money came from other businesses, they are not related to commissions paid by the government or whatsoever," he said.

  This newspaper sought for Somaiya's comments following reports that he had in recent years acquired about six companies with money believed to have been paid to him as commissions following the alleged four deals with the government.

  Among his acquired assets is a multibillion private luxurious boat and one of Tanzania's biggest security companies, Ultimate Security Company.

  "I know nothing about the radar, the presidential jet and military trucks said to have been supplied to the government and I challenge you to find my name in those transactions," he said.

  Somaiya said that his files at the Tanzania Revenue Authority (TRA) were 'clean and open for anyone to peruse.' "I conduct clean businesses in the country; these allegations come from my business competitors," he said.

  The name of Tanil Somaiya has been central to recent would be scandals.

  These include the purchase of a top-of-the range Gulfstream jet from the US for former President Benjamin Mkapa and the purchase of six Italian helicopters for the Tanzania Peoples' Defence Forces (TPDF).

  Others are the purchase of a military-air defence radar and the acquisition of an Italian fleet of Iveco trucks for the army. Somaiya is believed to be the local representative of Iveco.

  At the centre of controversy is the military air defence radar system bought from BAE Systems of the UK in 2001 for 28 million British pounds.

  It was disclosed in January 2007 that BAE had used Lloyds Bank and an offshore front company, Red Diamond, to pay a huge secret commission totaling 30% of the radar's price into a Swiss account.

  It was reported that the account belonged to Mr. Sailesh Vithlani, an agent closely connected with the Tanzanian military while it has alleged that the second smaller payment of one percent was made to a local Tanzanian company, run by Vithlani with his partner and friend Tanil Somaiya.

  But Somaiya insists that he had no knowledge of Vithlani's Swiss bank arrangements. Vithlani, now believed to be a fugitive in Switzerland, is being sought by both local Tanzania police and the Interpol.

  The Serious Fraud Office (SFO) in London discovered that about $12 million was secretly paid as kickbacks to Somaiya and Vithilani and it is alleged that some of the cash went to government officials in Tanzania.

  However, it has proved difficult to obtain hard evidence of onward receipts of money by Tanzanian officials or politicians although it has been established that Vithlani had been the intermediary at the centre of a whole network of other questionable military procurements.

   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Watasema mmoja baada ya mwingine .It is our time nguvu ya Umma .
   
 3. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkapa mbona hajitokezi akasema kama huyu hata kwa kukataa tu.
   
 4. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Jamani hapa JF tunawashambulia sana hawa viongozi fisadi wenye vijisenti lakini kumbe kuna ma big fish hawa VITHLANI, JEETU,SOMAIYA,ROSTAM n.k....

  Sometimes huwa naanza kujiuliza kama Idi Amin alikuwa na vision moja ajabu....i do not condone Idi Amin but....?
   
 5. M

  Mwakilishi JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2008
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 484
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ok, Tanil Somaiya anasema yeye safi na tena anatoa mwaliko wa kukaguliwa makabrasha yake TRA, halafu anampa changamoto mwandishi amwibulie jina lake kwenye ufisadi anaodaiwa kuhusika nao.
  Sasa swali, je ni kweli huyu bwana safi au ndio kukana kila kitu "ki-rostam rostam" au kuna la ziada?" Kwa harakaharaka nakumbuka jina lake lilionekana katika kashfa ya Ndege ya Rais au katika ile ya rada au kote tu, anyway ngoja nichungulie kwenye archives
   
 6. M

  Mwakilishi JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2008
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 484
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa sijui Tanil Somaiya anayetajwa hapa ni mwingine au vipi?

  The entire article can be found here: BAE's secret $12m payout in African deal | World news | The Guardian
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Jamani tunarudia tena na tena....wasije wakatudharau sisi wa tz kutuona hatuna akili na hatujui kufuatilia...ile misemo yao ya uoga na kuridhika na matokeo ya vyombo habari kama kujiuzulu nk,sasa tumeamka na tuko makini sana..ina maaana deal zima la rada na uchunguzi umemwonea??asitudhihaki kamwe...alikuwa wapi muda wote huo kujibu??time will tell.....truth will prevail.......
   
 8. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2008
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Rostam nae alisema kuwa hausiki kabisa na Richmond......Chenge nae alisema hausiki kabisa na rada....Rostam tena akasema hausiki na EPA...Lowassa akasema hausiki na Richmond....Msabaha yeye ni bangusilo...naona hawa wanatumia ile philosophy ya Bill Clinton,DENY..DENY..DENY!
   
 9. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Lunyungu huezi kuamini mkuu kuyu jamaa siku moja nilipita karibu na ofisi yake niliyaona haya:

  kiongozi mmoja yaelekea ni mkuu sana katika jeshi la wanachi (sikumjua jina) alikwenda pale na alitoka na mfuko wa malboro, sina hakika kama ilikuwa ni pesa, ila ramani ya mfuko ulijipinda mlundokano wa noti.na alikuwa na walinzi kama watatu hivi, (najuta na kusikitika kwa kutopiga picha na camera nilikuwa nayo-nilikuwa na haraka nawahi mahali)

  nilimuliza mwenyeji wangu kwani huyo muhindi anilukwa ni nani ndo nikaambiwa ni Tanil na nikapewa na wasifu wake wa kuhusika na deal ya rada, na akaniambia mbona nijambo la kawaida tuu kwa viongozi wetukwenda pale akanitajia wafuatao kuwa ni mwa geni wa mara kwa mara ofisini kwake kama si wa kilasiku nao ni Makamba, Kapten komba, Cisco Mtiro,TIBAIGANA

  na rafikie mkuu ni MKUU WA MKOA WA DODOMA LUKUVI

  wataonge mengi sana......
   
 10. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndo maana hawa wahindi wana nguvu sana maana wanajua wamewaonga sana viongozi wetu kwa pesa hizo hizo walizoiba kutoa kwa wananchi. Sasa na waseme au wanyamaze milele maana wakati umashafika.
   
 11. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Cha kushangaza ni kuwa, Serikali haijachukua hatua zozote kuhakikisha kuwa mali na pesa (Acc) za hawa wahusika vinazuiwa ili viweze kutumika kufidia hasara yoyote itakayotambulika uchunguzi na kesi vikikamilika.

  Hivi wanania kweli ya kuzipata hizo pesa zilizopotea kwa kick-backs?  ________________
   
 12. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  This is a call to MKAPA & CO.. We Tanzanians WANT OUR COUNTRY BACK
   
 13. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  UKIPATA LIKIZO POTEZA SIKU ZOTE KARIBU NA OFISI ZAKE TANIL NA UPATE PICHA NZURI AMBAYO ITAKUWA ZAWADI YETU WATANZANIA
   
 14. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2008
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Revealed:Vithlani to spill the beans on radar deal

  -More heads expected to roll as radar agent seeks to avoid prosecution

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam

  CONTROVERSIAL radar agent Shailesh Vithlani is said to have cut a deal with British investigators to avoid criminal prosecution by spilling the beans on senior Tanzanian government officials who received illegal kickbacks to approve the dubious 2002 transaction.

  THISDAY can now reveal that the fugitive businessman, wanted for multiple charges of perjury and lying to an investigating officer in Tanzania, has now offered to cooperate with UK detectives in exchange for his freedom.

  According to well-informed sources, Vithlani - who initially denied receiving an illegal $12m (approx. 15bn/-) commission from the radar manufacturer BAE Systems � has notified investigators from Britain’s Serious Fraud Office (SFO) that he is now willing to admit his guilt, in part to avoid criminal prosecution.

  ’’It appears the SFO people have accepted Vithlani’s offer to cut a deal, and he has since been fully cooperating with the ongoing investigation,’’ the sources confirmed to THISDAY.

  The agent of the 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) radar deal is believed to have used the illegal commission from BAE Systems to bribe a number of top Tanzanian politicians and senior officials in the third phase government of ex-president Benjamin Mkapa, and get them to approve the deal.

  The sources say Vithlani, who grew up in Tanzania but holds a British passport, has agreed to break his silence on the deal in return for an amnesty from criminal prosecution and the possibility of serving a jail sentence.

  It is understood that thanks to Vithlani’s cooperation, SFO investigators were recently able to discover the offshore bank accounts belonging to former attorney general and cabinet minister Andrew Chenge.

  There are allegations that at least $1m of the funds traced to Chenge’s offshore bank accounts in Jersey, Britain originated from BAE Systems, the company that supplied the military radar system to the Tanzanian government through the controversial agent.

  Although there is an international arrest warrant out for Vithlani, he is reported to be living quite comfortably in Switzerland while continuing to cooperate with the British investigators over the radar deal.

  ’’The investigators are keen to get more information from him on illegal conduct by BAE Systems in connection with the transaction�including possible outright corruption,’’ the sources told THISDAY.

  They added: ’’If Vithlani does go ahead and reveal all he knows about the radar transaction and all those who were involved in it, we could very well witness more high-profile casualties in government.’’

  Chenge was recently forced to resign as infrastructure development minister after being implicated in the radar deal, which was concluded during his tenure as the country’s attorney general.

  He was effectively the first ’casualty’ of the ongoing investigation.

  However, it is understood that with Vithlani’s help, investigators are now expecting to expose the involvement in this particular corruption scandal of other prominent government officials from the Mkapa era.

  According to THISDAY findings, the team of British and American lawyers hired by Chenge to defend him against the radar corruption allegations have already gone to some length to apportion blame on other government departments.

  Maintaining that their client was not involved in the deal, the lawyers have hinted in writing that the then ministry for communications and transport and ministry for defence and national service were the chief promoters of the deal.
   
 15. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  coz he is not an idiot like the others...ukimya wake ndo utawafanya wanaomsaka kutolala usiku...
   
 16. t

  think BIG JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 236
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hey KJ, naomba nikupeleke pole pole, nukuu ya Mh. Mizengo Pinda (09 Apr 2008):

  "Watu waliochukua fedha zaidi ya Sh46 bilioni ukiwapeleka mahakamani wanaweza kushinda kesi na hivyo hata fedha zisirudi, kwa maoni yangu naona njia inayotumika hivi sasa ni njia bora na inayowezesha kufanikisha mkakati huo wa kurudisha fedha hizo. Kama kuna umuhimu wa kwenda mahakamani fedha hizo zinaweza kutumika kama ushahidi".

  Suala la kwanza serikali haioni umuhimu wa kwenda mahakamani (ina maana wameridhika kudhulumiwa). Pili hata inapotokea wamepata ushahidi wote wa kuwashtaki hawa "matajiri" bado wanaogopa kwenda mahakamani kwani wanaweza kushindwa!!!

  sasa leo hii unataka "serikali" wa-block acc za hawa "matajiri" ambao hata serikali yako inawaogopa unatarajia nini? Tutashindwa kesi na tutalazimika kuwalipa zaidi ya hiyo tuliyokuwa tunawadai!

  Labda kwanza tumuombe Mh. Pinda aifute hii kauli ili tuendelee na hayo mawazo yako.
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2008
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  at the end of the day, hashitakiwi wala kufilisiwa mtu...
  so sad!
   
 18. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wandugu ukisikia kikulacho ki nguoni mwako ndio haya sasa yanaanza kufumuka na hawa magabachori kama tungewabana vizuri wana mambo kibao wanayajua na akina nani wameshiriki kwenye ma-deal mbali mbali e.g radar, ndege, EPA etc.

  Tunarudi kule kule tulikoondolewa na Azimio la Arusha kisa ulafi tu wa watu wachache....

  Sometimes huwa namkubali Mtikira kuwa hili linchi magabachori ndio wanalitafuna utadhani manyani kwenye shamba la mahindi na walaaniwe wote.....

  Tutawakamua tu na watasema mmoja mmoja!!!! Majambawazi kabisa.
   
 19. A

  August JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2008
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Naona wadosi wanawatosa wazeee wa Sirikali?
  Na hawa wakikupa rushwa sometimes wana kurekodi kwa cctv ili siku ya siku wawe na pakutokea au inakuwepo trail ya cheque.
   
 20. H

  Hongasuta Member

  #20
  May 4, 2009
  Joined: Sep 10, 2006
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina hasira sana na Wahindi mafisadi wanaoliangamiza taifa letu. Hapa najua waandishi wa mafisadi kama akina Manyerere, na viongozi walionunuliwa kwa 1m/- kama Lipumba, watasema naingiza 'ubaguzi wa rangi'. La hasha, nina marafiki zangu wengi tu Wahindi safi ambao nao wanawachukia mafisadi.
   
Loading...