Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,587
Wadau mara kadhaa tumesikia wakenya wakisema mlima kilimanjaro uko kwao? Ninaomba kueleweshwa kwa undani kabisa kuhusu jambo hili. Karibuni.
Kihistoria ule mlima upo kenya, na hata ziwa nyasa ni la nchi ya malawi, maeneo ya kigoma ni sehemu ya rwanda, na bukoba/kagera ni sehemu za uganda,
Hiyo ilikuwa kabla ya mgawanyo na mnyang'anyiro wa bara la africa. Au wanaita scramble for/ and partition of africa.
Sasa baada ya mgawanyo ndipo kwenye nyakati hizo hizo ikabidi ramani ya bara la africa lichorwe upya kwasababu hapo mwanzo zilikuwa zinazotawala sio himaya moja(serikali),
bali mtawala ilikuwa ni vikundi vya makabila mbali mbali.
Hivyo baada ya ramani kuchorwa ndipo sasa kasheshe ikaanzia hapo,
Na ndipo hapo Tanganyika tulipopata vitu kama mlima kilimanjaro, ziwa nyasa, kigoma, bukoma na kagera pamoja na maeneo mengine na ukumbuke kwamba huo ulikuwa ni wakati wa wakoloni,
sasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru na kujikomboa kutoka kwa mkoloni ndipo nchi zikaanza kudai maeneo yao yaliyoporwa na wakoloni enzi wanachora ramani,
huku wakida kwamba hizo ramani zimechorwa kulingana na uongozi wa wakoloni na kwavile huo uongozi haupo basi na ramani zivunje kisha zianze kutumika zile ramani kabla ya kuja wakoloni...
Dah ningeendelea sema niko bize mkuu
kigoma na rwanda hazipakani mkuu, labda useme kigoma burundi.Kihistoria ule mlima upo kenya, na hata ziwa nyasa ni la nchi ya malawi, maeneo ya kigoma ni sehemu ya rwanda, na bukoba/kagera ni sehemu za uganda,
Hiyo ilikuwa kabla ya mgawanyo na mnyang'anyiro wa bara la africa. Au wanaita scramble for/ and partition of africa.
Sasa baada ya mgawanyo ndipo kwenye nyakati hizo hizo ikabidi ramani ya bara la africa lichorwe upya kwasababu hapo mwanzo zilikuwa zinazotawala sio himaya moja(serikali),
bali mtawala ilikuwa ni vikundi vya makabila mbali mbali.
Hivyo baada ya ramani kuchorwa ndipo sasa kasheshe ikaanzia hapo,
Na ndipo hapo Tanganyika tulipopata vitu kama mlima kilimanjaro, ziwa nyasa, kigoma, bukoma na kagera pamoja na maeneo mengine na ukumbuke kwamba huo ulikuwa ni wakati wa wakoloni,
sasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru na kujikomboa kutoka kwa mkoloni ndipo nchi zikaanza kudai maeneo yao yaliyoporwa na wakoloni enzi wanachora ramani,
huku wakida kwamba hizo ramani zimechorwa kulingana na uongozi wa wakoloni na kwavile huo uongozi haupo basi na ramani zivunje kisha zianze kutumika zile ramani kabla ya kuja wakoloni...
Dah ningeendelea sema niko bize mkuu
Ahsante kwa kunisahihishakigoma na rwanda hazipakani mkuu, labda useme kigoma burundi.
nyingine zote ni stori. Kilimanjaro iko Tanzania
Upo sahihiKihistoria ule mlima upo kenya, na hata ziwa nyasa ni la nchi ya malawi, maeneo ya kigoma ni sehemu ya rwanda, na bukoba/kagera ni sehemu za uganda,
Hiyo ilikuwa kabla ya mgawanyo na mnyang'anyiro wa bara la africa. Au wanaita scramble for/ and partition of africa.
Sasa baada ya mgawanyo ndipo kwenye nyakati hizo hizo ikabidi ramani ya bara la africa lichorwe upya kwasababu hapo mwanzo zilikuwa zinazotawala sio himaya moja(serikali),
bali mtawala ilikuwa ni vikundi vya makabila mbali mbali.
Hivyo baada ya ramani kuchorwa ndipo sasa kasheshe ikaanzia hapo,
Na ndipo hapo Tanganyika tulipopata vitu kama mlima kilimanjaro, ziwa nyasa, kigoma, bukoma na kagera pamoja na maeneo mengine na ukumbuke kwamba huo ulikuwa ni wakati wa wakoloni,
sasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru na kujikomboa kutoka kwa mkoloni ndipo nchi zikaanza kudai maeneo yao yaliyoporwa na wakoloni enzi wanachora ramani,
huku wakida kwamba hizo ramani zimechorwa kulingana na uongozi wa wakoloni na kwavile huo uongozi haupo basi na ramani zivunje kisha zianze kutumika zile ramani kabla ya kuja wakoloni...
Dah ningeendelea sema niko bize mkuu
Unanikimbiaje na huna mbio!Upo sahihi
Thanks papyUpo sahihi
We mkorofi!!! Ntakusemelea!!!Unanikimbiaje na huna mbio!
Ukinisemea ntalipiza kisasi uwanjaniWe mkorofi!!! Ntakusemelea!!!
Kabla ya mgawanyo wa bara la Afrika katika mkutano wa berlin hakukuwa na nchi kama hivyo ulivyojaribu kuwaaminisha watu ...kulikuwa na jamii za buganda ,buhaya , nyamwezi na kadharika... nchi ziliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao na wala hawakujali tamaduni za jamii za kiafrika ndio maana hata leo jamii za mipakani hushabihiana lakini si wamoja tena kutokana na mipaka ya wakoloniKihistoria ule mlima upo kenya, na hata ziwa nyasa ni la nchi ya malawi, maeneo ya kigoma ni sehemu ya rwanda, na bukoba/kagera ni sehemu za uganda,
Hiyo ilikuwa kabla ya mgawanyo na mnyang'anyiro wa bara la africa. Au wanaita scramble for/ and partition of africa.
Sasa baada ya mgawanyo ndipo kwenye nyakati hizo hizo ikabidi ramani ya bara la africa lichorwe upya kwasababu hapo mwanzo zilikuwa zinazotawala sio himaya moja(serikali),
bali mtawala ilikuwa ni vikundi vya makabila mbali mbali.
Hivyo baada ya ramani kuchorwa ndipo sasa kasheshe ikaanzia hapo,
Na ndipo hapo Tanganyika tulipopata vitu kama mlima kilimanjaro, ziwa nyasa, kigoma, bukoma na kagera pamoja na maeneo mengine na ukumbuke kwamba huo ulikuwa ni wakati wa wakoloni,
sasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru na kujikomboa kutoka kwa mkoloni ndipo nchi zikaanza kudai maeneo yao yaliyoporwa na wakoloni enzi wanachora ramani,
huku wakida kwamba hizo ramani zimechorwa kulingana na uongozi wa wakoloni na kwavile huo uongozi haupo basi na ramani zivunje kisha zianze kutumika zile ramani kabla ya kuja wakoloni...
Dah ningeendelea sema niko bize mkuu
Mkuu historia hii uliyoitoa nina mashaka nayo. Hasa kuhusu upande wa kilimanjaro na mlima kuwepo KENYA je kuna lugha (lahaja) ya kichaga Kenya ? Kama hakuna basi jamii hizo hazikuchangamana kama zile za Bukoba na Uganda na kwengineko.Kihistoria ule mlima upo kenya, na hata ziwa nyasa ni la nchi ya malawi, maeneo ya kigoma ni sehemu ya rwanda, na bukoba/kagera ni sehemu za uganda,
Hiyo ilikuwa kabla ya mgawanyo na mnyang'anyiro wa bara la africa. Au wanaita scramble for/ and partition of africa.
Sasa baada ya mgawanyo ndipo kwenye nyakati hizo hizo ikabidi ramani ya bara la africa lichorwe upya kwasababu hapo mwanzo zilikuwa zinazotawala sio himaya moja(serikali),
bali mtawala ilikuwa ni vikundi vya makabila mbali mbali.
Hivyo baada ya ramani kuchorwa ndipo sasa kasheshe ikaanzia hapo,
Na ndipo hapo Tanganyika tulipopata vitu kama mlima kilimanjaro, ziwa nyasa, kigoma, bukoma na kagera pamoja na maeneo mengine na ukumbuke kwamba huo ulikuwa ni wakati wa wakoloni,
sasa baada ya nchi nyingi kupata uhuru na kujikomboa kutoka kwa mkoloni ndipo nchi zikaanza kudai maeneo yao yaliyoporwa na wakoloni enzi wanachora ramani,
huku wakida kwamba hizo ramani zimechorwa kulingana na uongozi wa wakoloni na kwavile huo uongozi haupo basi na ramani zivunje kisha zianze kutumika zile ramani kabla ya kuja wakoloni...
Dah ningeendelea sema niko bize mkuu
Unazungumziaje wakazi wa mtwara na nchi ya msumbiji kuhusu lafudhi yao???Mkuu historia hii uliyoitoa nina mashaka nayo. Hasa kuhusu upande wa kilimanjaro na mlima kuwepo KENYA je kuna lugha (lahaja) ya kichaga Kenya ? Kama hakuna basi jamii hizo hazikuchangamana kama zile za Bukoba na Uganda na kwengineko.