Ufafanuzi mzuri wa vifuatavyo kwa mwenye uelewa zaidi

Toofast

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
452
765
Kuna vitu nilivisikia tangu kipindi kirefu nyuma lakini bado hadi Leo sijapata kujua undani wake zaidi(vitu vyenyewe hususani ni maeneo kama)

1.Bermuda triangle
2.pyramid of Egypt
3.Area 51
4.Israel in general


Ni hayo tu.
 
Mm nataka mnijuze kuhusu Utawala wa Kirumi na mambo ya Spartacus..
Cc.@Eiyer
 
Nimeewahi kufuatilia kuhusu Bermunda Triange lakini sijapata cha maana, hakuna uthibitisho wowote wa hiyo sehemu
kuwa kuna meli na ndege zinazama kwa wingi, hazizidi hata nne, ni conspiracy theory tu.
 
Pia naomba kujua dola ya Rumi ilianza mwaka gani na ilidumu kwa miaka mingapi na mpaka inaanguka ilitawaliwa na watawala (Emperors) wangapi?
 
1) Bermuda Triangle
Wanasema ni eneo ambalo meli na ndege huwa zinapotea na kutokuonekana tena. Hili eneo lipo baina ya miji ya Miami Florida, Bermuda na nchi ya Puerto Rico.


2) Area 51
Ni eneo ambalo lipo chini ya mamlaka ya United State Air Force, kinachofanyika hapo almost hakijulikani kwa Public ila kwa juu juu inasemekana Wale Aliens na Aliens aircraft (UFO) zote zipo hapo, na pia ni eneo ambalo kuna tengenezwa na kufanyiwa majaribio ndege za kijeshi za marekani. Hapa nadhani Mzee wa US Nyani Ngabu atatusaidia zaidi.

 
Back
Top Bottom