zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Habari zenu WANA JF?
Je ni kweli huyu jamaa ana asili ya Rwanda au ni jina tu la kibantu,kwani amekuwa akitajwa kuwa na mafanikio makubwa sana hasa kwenye utumishi wa umma wakati wa kipindi chake na kuwa mwadilifu sana na mzalendo katika nchi hii.
Amewahi kuwa Katibu mkuu kiongozi ambaye alikuwa anawajibika moja kwa moja kwa RAIS WA NCHI.
Baadhi ya watu ndani ya serikali hawakupendezwa na kitendo cha Joseph Rugyamheto kuwa na madaraka makubwa katika nchi hali iliyo pelekea kupitisha watu wengi wenye asili rwanda kufanya kazi kwenye ofisi nyeti za nchi hii.
Je ni kweli huyu jamaa ana asili ya Rwanda...............?
The Honourable Joseph Rugumyamheto, a graduate of Stanford University, spent 30 years in the Tanzania public service, ultimately serving for five years as the Permanent Secretary for Public Service Management in the President's Office, where he reported directly to the President of Tanzania. He was responsible for all civil servants in the Government of Tanzania and for human resource management and development policies.
He is widely credited with being instrumental in achieving wide-ranging reform in the Tanzanian public service and for achieving enormous improvement in public service delivery to the poor. He contributed to development in numerous capacities including serving as Chairman of the Government Board of the Eastern and Southern African Management Institute, Member of the Board of Research on Poverty Elimination, and Chairman of the Board of Global Development Learning Centre Network.
The Honourable Rugumyamheto retired in January 2006, and is now Chairman of the Board/Director at Douglas Lake Minerals Limited, a joint venture company holding mineral concession rights in Tanzania. In April 2006 he was awarded, at the World Bank, the Jit Gill Memorial Award for Outstanding Public Service. His steadfast encouragement of good governance reforms and his distinguished contribution to the public good through effective public service reforms were honoured.)