Hivi zile meli au manowari za Ukraine zilizochukuliwa na Urusi zilishaachiwa ama bado?

enery

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
368
437
Kuna meli ama sijui ni manowali tatu za Ukraine zilipigwa na kuchukuliwa na Urusi baada ya raisi wa Ukraine kipindi icho Poroshenko kuingizwa mkwenge na wazungu kuwa alianzishe watamsaidia ila akapokea kichapo na manowari kuchukuliw na Urusi. Je walisharudishiwa zile meli zao ama bado mpaka leo, na kama bado je nini kimewapata wale mabaharia waliokuwa katika zile meli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom