Fahamu asili ya adhabu ya Kusulubishwa Msalabani na mwisho wake

Nibiru X

JF-Expert Member
Jun 30, 2019
410
369
Jinsi adhabu ya kusubishwa ilivyoondoshwa hapa duniani ilikuwa ni desturi ya Wayahudi hata Warumi kuhukumu watu kusulubishwa katika msalaba waliokutwa na makosa mbalimbali kama
Kutaka kupindua dola
Kumtukana kaisari
Uhaini na uchochezi nk pia vilisababisha maelfu kusulubishwa

Asili ya watu kuuliwa kifo cha kutundikwa ilianza miaka mingi bc lakini haikuzungumziwa sana hii ilianza siku kadhaa baada mfalme Nebukadneza kuvamia Yuda inafahamika mamia ya askari ya Yuda walisubishwa na mfalme wa akatolewa macho
Tukirudi enzi za utawala kaisari Agusto ilikuwa kosa kubwa kutokulipa kodi( sio kama siku hizi mnajificha madukani wakipita ndo mnafungua kuwakwepa)ili kuwa ukidakwa hukumu ni kuuliwa mbele ya kadamasi ikiwemo kuudharau utawala wa kaisari na kulidharau hekalu hayo pia yaliwanya watu kusulubishwa sana adhabu hii pia ndio iliyo muua Yesu wa Nazaret

Jinsi ilivyokuja kupotea dunia kifo cha kusulubiwa

Kifo cha cha msalaba kiliendelea hadi miaka 40AD ambapo baada ya serikali Pontio Pilato kupinduliwa na waasi.Mwaka wa 39 yalitokea mapinduzi utawala wa Kaisari Agusto na Pilato aliekuwa liwali mkuu( cheo kikubwa sana wakati ule kama jaji mkuu) alifukuzwa maana alihusika katika rushwa na pia alifurahia maelfu kuuliwa baada ya kukimbia tunaambia alienda Dameski(Damascus)lakini mfalme wa Siria alimkataa Pilato alitaabika mwishowe akaamua kujinyonga na maiti yake ilipookotwa ikazikwa na juu yake wakaandika maandishi ya kiyahudi
"Huyu ni Pontio pilato" baada kifo chake na mapinduzi yale kifo cha kusulubiwa hakiku tajwa tena hadi leo
 
Kuna jamaa mmja aliweza kufufua wafu, kubadili maji kuwa mvinyo and etc..

Lakini alivyotundikwa hapo msalabani akashindwa hata kungoa vijimisumari, aliishia kulialia tuu..
Yule jamaa alikufa wakatudanganya alifufuka weeee labda wadanganye watoto zao.
 
Kuna jamaa mmja aliweza kufufua wafu, kubadili maji kuwa mvinyo and etc..

Lakini alivyotundikwa hapo msalabani akashindwa hata kungoa vijimisumari, aliishia kulialia tuu..

kuna msemo unasema msaada uwa ujisaidii.
wakati anafanya yote alipewa masharti kuwa akifika huko lazima watamtesa.masharti na vigezo uzingatiwa.
soma bibilia vizuri sio kukejeli
 
Kuna jamaa mmja aliweza kufufua wafu, kubadili maji kuwa mvinyo and etc..

Lakini alivyotundikwa hapo msalabani akashindwa hata kungoa vijimisumari, aliishia kulialia tuu..
Hayo yalikuwa ni maagizo ya mkubwa wake wa kazi Ilimpasa afe ili kilicho kuwa kimekusudiwa kitimie na kilitimia kweli.
 
Back
Top Bottom