John Edgar Hoover, mwasisi wa Shirika la FBI na jasusi mahiri ndani ya USA baada ya kubadilishwa jina kutoka BIO kuwa FBI

Diason David

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,562
7,347
JOHN EDGAR HOOVER, MWASISI WA SHIRIKA LA FBI, NA JASUSI MAHIRI NDANI YA USA.

Jina lake halisi ni John Edgar Hoover lakini alipenda kujulikana zaidi kama J. Edgar Hoover. Ni Kachero aliyeheshimika na kuogopwa zaidi ndani ya FBI na Marekani kwa ujumla, ni mtu aliyekuwa na matukio mengi ya kutatanisha.

Ndio muasisi wa Shirika la Upelelezi nchini Marekani ( FBI ) baada ya kutoa wazo la kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1935. FBI ilianzishwa ikichukua nafasi ya Bureau Of Investigation ( BOI ) ambapo J. Edgar Hoover pia alikuwa ni Mkurugenzi wake kuanzia mwaka 1924 mpaka 1935. Lengo la kuanzishwa kwa FBI ilikuwa ni kuongeza ufansi katika kupambana na uhalifu ndani ya Marekani.

J. Edgar Hoover ndio Mkurugenzi wa kwanza kabisa wa FBI akidumu kwenye cheo hiko kuanzia mwaka 1935 mpaka 1972 alipofariki Dunia akiwa na miaka 77 ( Alifia Madarakani ). Alidumu kama Mkurugenzi wa FBI kwa miaka 32, hakuna Mkurugenzi aliyekaa muda mrefu zaidi kama Hoover. Jengo la Makao Makuu ya FBI limepewa jina lake na linajulikana kama " J. Edgar Hoover Building "

Katika miaka yake 32 kama Mkurugenzi wa FBI, Edgar Hoover alihudumu kwa Marais 6 tofauti na hakuwa na mahusiano mazuri na Marais hao. Marais hao ni Franklin D. Roosevelt. , Harry S. Truman, Dwight D. Eisenhower, John F. Kennedy, Lyndon B. Johnson na Richard Nixon. Rais Richard Nixon aliwahi kusema alikaribia kumfukuza kazi Edgar Hoover lakini alimhofia Hoover angemharibia mambo yake ya kisiasa. Huku Rais Harry S. Truman akisema Hoover aliifanya FBI kama jeshi lake la siri.

Inasemekana Edgar Hoover aliogopwa zaidi ndani ya Marekani kutokana na kuwa na mafaili machafu ya watu maarufu na hata Marais. Ndio maana Marais 6 katika vipindi tofauti tofauti walishindwa kumfukuza kazi wakihofia usalama wao zaidi. Mbinu mojawapo aliyokuwa akiitumia Edgar Hoover ni kurekodi mawasiliano ya Marais waliokuwa madarakani na kutumia kama kinga ya kujihami asitumbuliwe. Mfano Rais John F. Kennedy alirekodiwa maongezi yake ya kimapenzi na mrembo matata wa miaka hiyo Marylin Monroe.

J. Edgar Hoover aliogopwa pia ndani ya FBI kwani alitumia mbinu chafu katika kuhakikisha hakuna mtu maarufu zaidi yake ndani ya Shirika hilo. Mfano ni kuwastaafisha kazi au kuwaua baadhi ya maofisa waliokuwa wanataka kumzidi umaarufu na kutishia usalama wa nafasi yake kama vile Kachero Melvin Purvis ambaye alisifika sana ndani ya FBI miaka ya 1930's kwa kudili na Majambazi. Lakini Kachero Melvin Purvis aliacha kazi ghafla na kufariki kifo cha utata

J. Edgar Hoover alisifika kwa kuwashughukia wahalifu wakubwa waliovunja na kuiba katika Mabenki nchini Marekani katika kipindi cha World Economic Depression miaka ya 1930's. Baadhi ya wahalifu sugu waliokamatwa au kuuwawa kipindi hiko ni John Dillinger, Baby Face Nelson, Pretty Boy Floyd, killing machine na wengineo. Na pia alisaidia kuwamaliza waNAZI waliotumwa na HILTER katika WWII.

Pia inasemekana aliratibu baadhi ya mauaji ya wanaharakati kama vile Martin Luther King Jr.

J. Edgar Hoover hakuwahi kuoa, kuwa na mwanamke wala kupata mtoto katika maisha yake Duniani. Ni bachela wa muda mrefu sana, na kuna tetesi ziliwahi kuvuma kuwa ni shoga lakini hakuna aliyethibitisha hilo. Kuna wanaosema kazi yake ilimfanya awe bize zaidi na kusahau mambo ya muhimu kama kuoa.

Mtu pekee Edgar Hoover aliyemuamini katika shirika la FBI ni secretary wake bi Helen Gandy. Mama huyu alikuwa ni mtu wa karibu sana wa Edgar Hoover walifanya kazi kwa pamoja kwa miaka 54 na ndiye aliyekuwa anatunza siri nyingi za Edgar Hoover. Kama ilivyo kwa bosi wake, Bi Hellen Gandy hakuwahi kuolewa wala kupata mtoto. Alichoma moto nyaraka muhimu za bosi wake punde tu baada ya kifo chake ikiwa ni sehemu ya kiapo chake. Alistafu kazi ndani ya FBI siku moja baada ya kifo cha J. Edgar Hoover.

Kwa kuhofia asije akajitokeza mtu mwingine mwenye mawazo kama ya J. Edgar Hoover, serikali ya Marekani kwa kutumia Bunge lake ilitengeneza sheria ya muda wa ukomo wa madaraka kwa Mkurugenzi wa FBI, ambapo anatakiwa asizidi miaka 10 madarakani. Kwani walijifunza kutokana na Hoover kukaa madarakani miaka 32 na kufanya shirika la FBI kama mali yake hivyo kuwatesa marais wengi.

young-hoover.jpeg
 
View attachment 1148138
#legend
 
SAD COMMENT TO HIS PROFILE NI KUWA ALIHUSISHWA NA MASWALA YA USHOGA/MAHUSIANO YA JINSIA MOJA NA TOP OFFICIAL MWENZAKE, LASTLY HAKUWAHI KUWA NA MPENZI AU KUOA MPAKA UMAUTI. HE HAD ONLY ONE FEMALE CLOSE BF WHO SURPRISINGLY WAS HER SECRETARY.

GOOD WORK HE DID AS A MAN TO HIS JOB THOUGH HE CAUSED SO HARM TO A LOT PEOPLE LOCALLY & ABROAD BEHIND HIS UNIT FACILITY.
 
Kwanini mkuu unaniuliza hivyo?
Sijakuuliza ila nimekuambia kuwa umekopi na kupest tena neno kwa neno toka kwa Mussolin5

Ajaacha Adi nukta

Nimepokea maombi yenu nitafanyia kazi ushauri nashukuru
Umecopy na kupaste mkuu
Sijakuuliza ila nimekuambia kuwa umekopi na kupest tena neno kwa neno toka kwa Mussolin5

Ajaacha Adi nukta
Eti kabadilisha herufi tu badala ya namba ili tuone ni kitu kingine

sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom