Historia ya Dinasours

dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
1,211
2,000
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.

Ukiitafari hizi statement mbili zimebeba maana kubwa sana, kwanza kabisa tufocus kwenye mstar wa pili, "Ukiwa"maana yake kulikua na kitu ila hakipo tena, na mara yingi ukiwa uko katika maeneo ya msiba, au mtu mnayependana sana mkatengana

Hii inaonyesha kwamba kabla ya huo ukiwa kulikua na maisha mengine tofaut na haya. Wengi wetu tunafahamu shetan alikua ni malaika wa Mungu kabla hajaasi,

Na kipind hiki ndicho dinosaurs walikua wakiishi dunia, na waliweza kuish Kwa sababu hakukua na mwanadamu kipind hicho duniani, Kwa sababu wengi tunafahamu wanadamu ni kikwazo hata Leo Kwa baadhi ya wanyama kupungua kama tembo na faru.

Shetan alijaribu kuleta mapinduzi na vilitokea vita katika dunia ya kwanza, na baada ya shetan kushindwa, kila kitu kilivurugika na ndo ikawa mwisho wa dinasours duniani.

Lakin wana-science wamekua wakituletea theory zinazoelezea dinasours ambazo sizipingi ila inakua ni ngumu sana kuzielewa. Hii theory yangu naiona ina uhalisia japokuwa silazimishi watu waiamini
 
Avatar

Avatar

JF-Expert Member
10,679
2,000
Nadharia inayokosa mashiko, ukawahadithie watoto wako huko huko..

Yani uelewi tafiti ya wanasayansi, alafu hapo hapo unatumia nadharia yao (dinosaurs) kwenye uchwara wako..

Tafuta mambo mengine ufanye.

Sent using Unknown device
 
W

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
925
1,000

Sio wazungu tu wenye haki ya kufanya tafiti na kutoa majibu hata sisi ngozi nyeusi kutoka Africa tuna haki.

Theories ndo mwanzo wa kila kitu katika tafiti. Na hamna linaloanza bila theory na baada ya hapo theory itafanyiwa utafiti ili ionekane mambo yapo hivyo kama nadharia/theory au lah..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Avatar

Avatar

JF-Expert Member
10,679
2,000
Si zungunzii uzungu na uafrika hapa,
Not every hypothesis is researchable.
Sio wazungu tu wenye haki ya kufanya tafiti na kutoa majibu hata sisi ngozi nyeusi kutoka Africa tuna haki.

Theories ndo mwanzo wa kila kitu katika tafiti. Na hamna linaloanza bila theory na baada ya hapo theory itafanyiwa utafiti ili ionekane mambo yapo hivyo kama nadharia/theory au lah..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Unknown device
 
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
1,211
2,000
Nadharia inayokosa mashiko, ukawahadithie watoto wako huko huko..

Yani uelewi tafiti ya wanasayansi, alafu hapo hapo unatumia nadharia yao (dinosaurs) kwenye uchwara wako..

Tafuta mambo mengine ufanye.

Sent using Unknown device
Kwani nimekushikia fimbo usome kwani hao wanascience mbona wanabwajaja tu, peleka inferiority complex huko
 
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
1,211
2,000
Sio wazungu tu wenye haki ya kufanya tafiti na kutoa majibu hata sisi ngozi nyeusi kutoka Africa tuna haki.

Theories ndo mwanzo wa kila kitu katika tafiti. Na hamna linaloanza bila theory na baada ya hapo theory itafanyiwa utafiti ili ionekane mambo yapo hivyo kama nadharia/theory au lah..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika tunafeli sana kitu hicho hicho ataongea muafrika atapondwa ila akiongea mzungu atasifiwa ata kama ni ngumu kuelewa, tuna inferiority complex mbaya sana na inatufanya kukosa uthubutu kwenye mambo mengi sana
 
Avatar

Avatar

JF-Expert Member
10,679
2,000
Ulitegemea ukubaliwe tu ee, defend nadharia yako, unataka kuwa researcher huku uutaki critics kisa Mwafrika ndio uonewe huruma! Hell no. Kwanza mbongo ukimpa nafasi ya kujitetea maneno meengi sana anaweza hata kukufunga... Scholar wa wapi wewe!
Kwani nimekushikia fimbo usome kwani hao wanascience mbona wanabwajaja tu, peleka inferiority complex huko
Sent using Unknown device
 
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
1,211
2,000
Ulitegemea ukubaliwe tu ee, defend nadharia yako, unataka kuwa researcher huku uutaki critics kisa Mwafrika ndio uonewe huruma! Hell no. Kwanza mbongo ukimpa nafasi ya kujitetea maneno meengi sana anaweza hata kukufunga... Scholar wa wapi wewe!

Sent using Unknown device
Sijakulazimisha wala kukushikia fimbo Kwa hy usijaribu kutumia defense mechanism za kitoto, mim nimetoa mtizamo wangu usijaribu kunipangia kitu cha kupost eti Kwa sababu wewe ukubaliani nacho, hata hao wanascience wapingana wenyewe Kwa wenyewe
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
540
1,000
😂😂 Theory yako inachekesha. Ila bora hata wewe umechekecha ubongo.
Hata hivo naomba kuuliza kwenye Biblia kitabu cha Mwanzo kuna orodha yooteee ya wanyama wote waliowahi kuumbwa au?
 
Kimetaja baadhi sio wote, point ya muhimu ni kwamba Mungu aliumba wanyama wote had wale ambao hawajatajwa lakin wapo duniani hii ni Kwa wale wanaomuamin Mungu (Yahweh).
 
Agamemnon

Agamemnon

Member
95
150
Umekula ubwabwa wa wazazi umeshiba sasa unaandika ujinga ujinga
 
Forum statistics

Threads
1,424,596

Messages
35,068,120

Members
538,026
Top Bottom