BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
1.Kwenye Dunia hii kuna watu wanaishi maisha ya furaha maisha yenye kila kitu wanachohitaji. Je hatuwezi kusema kuwa hao watu wanaishi peponi? Sababu miili yao na roho zao zinapata wanachohitaji kwa wakati.
2.Kuna watu wanaishi maisha ya mateso yenye matatizo kila kona. Magonjwa, umasikini, maisha ya utumwa hadi siku ya kufa.. wanatamani wasingekuwa hai kwa jinsi wanavyopitia maumivu. Je aina ya maisha hayo hatuwezi kuyaita jehanamu?
Je tunaweza sema kuwa maisha ya raha na mateso ni hapa hapa duniani? Kwa maana ukifa unaenda kupumzika tu.