Kwanini ninapo amini japo ndani ya imani yangu linatokea kweli in nature life...?

TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
1,502
Points
2,000
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
1,502 2,000
Habari wana JF

Salute....

Nimekuja na huu Uzi baada ya kuishi kwa muda mrefu nikiwa nashangazwa na mengi, vitu vingi zinavyotokea katika maisha yangu vinaniachia alama ya mshangao? Mind yangu huwa inanipa uhalisia wa jambo kwamba halija tokea katika uhalisia nawez kufanya jambo lakn nikapata hisia fulan kwamba hili jambo mwisho wake sio mzuli aiseee nature inanishangaza kwa kutokea kweli Dah hadi some time najishangaa mm mwenyewe.

Mfano mzuri nimekua nikipitia katika kipindi kigumu lakn ndani ya kipindi kigumu ndo kimetoa mwanga na ufahamu mpana sana na muongozo mzima wa maisha yangu maumivu yake hope yanifanya nikae kwenye position nzuri sana for life nimeinote hii na nitaondoka nayo kupitia changamoto zilizotokea zimenipa mwanga mzima wa maisha ujasili hili tatizo lilikua likiniumiza sana kipindi naingia kwenye mahusiano na huyu bint nilikua Mnene san hali hii ilininyima fursa nyingi san katika maisha yangu.

Hapo mwanzo mabint wengi niliwafata wakanikataa kwasababu ya Unene wangu Jamani nasema ukweli olmots 89% ya wanawake hawapendi Mwanaume Mnene Mind zao zimejaa Negative sana......hapa naomba nisiendelee sana

Tuendelee.... hata hapo mwanzo naanza kuingianae katika mahusiano nilikua na muonekano mbaya lakn huyu bint akanikubalia hope alifata mtonyo asepe 89% mind yangu inathibitishia hilo huwa nafasi tetezi inapokuja na utetezi wake hutokea ubishano mkubwa sana akili mwangu na jibu linabakia palepale kwamba huyu Bint alifanya pesa am be honest huyu manzi nilikua nikimpenda sana.

Nikasema Mimi Mnene hii ndio nafasi yangu pekee ya kuondokana na hii hali basi nikaendekea kumganda huyu manzi kiukweli alionesha kila dalili kuwa hanitaki lakn mm nilikua nikiendelea kumganda na kumuekea hisia za kweli ili aniumize nipunguze mwili hahahah Now naaandika hivi kilinikipita wale waliokuwa wakinikata kisa Mnene wote shobo

Tuendeleee...

Huyu mnzi baada ya kuniumiza na mm kukubali Yale maumivu ili nipunguze mwili sasa hv ndo ananisumbua yani anaonesha dalili zote za kunipenda anashangaa kwanini nakonda haaa mwanaume mwembamba ndo anaempenda basi sasa hivi ananiganda yeye....

NILICHO JIFUNZA....

1.Nikweli ukiwaza jambo katika mind yangu na kuliwish litokee katika uhalisia linatokea kweli. Hii nimekua niikiisoma sana hapa hapa JF Nyuzi nyingi zimeinzishwa kule Jamii Intelligence. Created LIFECODED MSHANA JR APOLLO nk....niwezi kuwamention wote laik salutes sana

Hasa ninaposoma nondo za Codes of life hahahh tuinuke jamani haya mambo nikweli kabisa binafsi yamenifanya niwe huru sana hii elimu kubwa sana na inatolewa kimafumbo fumbo ukiwa na kichwa cha panzi uwezi kuelewa lakn ni elimu yenye uhalisia wa maisha yetu katika uhalisia wake.

2.Bangi inaOpen JICHO LA TATU hii nikweli kabisa hapa kuna siri nzito sana. Wachache wanaijua lakn kwa tamaa zako wakitangazia Dunia hili jani lipigwe vita HAPA KUNA SIRI KUBWA.

3. Sina Dini nashi maisha yangu kwa kufata sharia na kanuni za asili.

Codes zinanizuia kufanya jambo lolote mbaya.

........................TEAM B-13............................

Sent using Samsung Galaxy Note7
 
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
1,502
Points
2,000
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
1,502 2,000
Niko kwenye valuer ngoja nitulie nitarejea... Ulichokiandika kinaakisi ukweli mwingi ndani yake.. Nitarejea

Jr
Sawa nakungojea kwa hamu naomba utakapo rudi uje na nondo zilizoshiba kwan hii hali imeniacha njia panda na kunistajabisha sana nimeani kweli binadamu tunaishi katika ulimwengu wenye siri nzito...
Sent using Samsung Galaxy Note7
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,626
Points
2,000
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,626 2,000
hahahah mkuu mwanzo wa uzi ulikuwa deepsea sana alafu mwishoni ukarudi ufukweni shallow waters,mi nlidhani ulipata janga la kufilisika kumbe demu tu na sababu ya unene,bora ingekuwa sababu ya ufupi manake ndio haubadiliki ilhali unaweza kuwa mnene mwezi huu alafu mwezi ujao ukawa kimbaumbau.

Naunga mkono hoja,akili yako inaweza kuumba chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,107
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,107 2,000
Haya mmoja kati ya kichwa panzi nimekuja kuona mwenye akili akibangaiza matukio.. kwanza pole sana kwa kuamini jambo litokee hlf litokee tu bila kulitokeza

Jichunguze lbd ni ugonjwa wa akili!..

Hivyo kuamini kunamfanya mtu kuwa tajiri bila kutikisa viungo vyake vya mwili.?

Kichwa panzi haamini kama kuamini tu kunafanya kitu kutokea kwasababu maisha ni halisi..mkuu kichwa panzi naona labda una akili nyingi ila haujui kuzitumia!

Nakuomba kwa niaba ya vichwa panzi wenzangu wote kuanzia leo anza kuamini kuwa utafika kwenye mwezi siku ukifika usitusahau kutuhabarisha kama ulivyotuhabarisha hili lililozalisha neno vichwa panzi.
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
822
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
822 1,000
Haya mmoja kati ya kichwa panzi nimekuja kuona mwenye akili akibangaiza matukio.. kwanza pole sana kwa kuamini jambo litokee hlf litokee tu bila kulitokeza
Jichunguze lbd ni ugonjwa wa akili!..
Hivyo kuamini kunamfanya mtu kuwa tajiri bila kutikisa viungo vyake vya mwili.?
Kichwa panzi haamini kama kuamini tu kunafanya kitu kutokea kwasababu maisha ni halisi..mkuu kichwa panzi naona labda una akili nyingi ila haujui kuzitumia! Nakuomba kwa niaba ya vichwa panzi wenzangu wote kuanzia leo anza kuamini kuwa utafika kwenye mwezi siku ukifika usitusahau kutuhabarisha kama ulivyotuhabarisha hili lililozalisha neno vichwa panzi.
Hivyo vitu umeashaambiwa ukivisoma juu juu huwezi kuvielewa ,halafu vinaenda kwa mtiririko sio eti ukiamini tuu kuwa utakuwa tajiri ndo utakuwa tajiri,Naomba ukasome nyuzi za life coded na baadhi ya nyuzi Mshana pitia na comments unaweza kuelewa B13 ameandika nini.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,674
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,674 2,000
Hivyo vitu umeashaambiwa ukivisoma juu juu huwezi kuvielewa ,halafu vinaenda kwa mtiririko sio eti ukiamini tuu kuwa utakuwa tajiri ndo utakuwa tajiri,Naomba ukasome nyuzi za life coded na baadhi ya nyuzi Mshana pitia na comments unaweza kuelewa B13 ameandika nini.
Sahihi kabisa...

Jr
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,107
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,107 2,000
Hivyo vitu umeashaambiwa ukivisoma juu juu huwezi kuvielewa ,halafu vinaenda kwa mtiririko sio eti ukiamini tuu kuwa utakuwa tajiri ndo utakuwa tajiri,Naomba ukasome nyuzi za life coded na baadhi ya nyuzi Mshana pitia na comments unaweza kuelewa B13 ameandika nini.
we umeshafungua jicho la tatu kwa kutumia bangi au njia yoyote ile.?
 
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,039
Points
2,000
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,039 2,000
Habari wana JF

Salute....

Nimekuja na huu Uzi baada ya kuishi kwa muda mrefu nikiwa nashangazwa na mengi, vitu vingi zinavyotokea katika maisha yangu vinaniachia alama ya mshangao? Mind yangu huwa inanipa uhalisia wa jambo kwamba halija tokea katika uhalisia nawez kufanya jambo lakn nikapata hisia fulan kwamba hili jambo mwisho wake sio mzuli aiseee nature inanishangaza kwa kutokea kweli Dah hadi some time najishangaa mm mwenyewe.

Mfano mzuri nimekua nikipitia katika kipindi kigumu lakn ndani ya kipindi kigumu ndo kimetoa mwanga na ufahamu mpana sana na muongozo mzima wa maisha yangu maumivu yake hope yanifanya nikae kwenye position nzuri sana for life nimeinote hii na nitaondoka nayo kupitia changamoto zilizotokea zimenipa mwanga mzima wa maisha ujasili hili tatizo lilikua likiniumiza sana kipindi naingia kwenye mahusiano na huyu bint nilikua Mnene san hali hii ilininyima fursa nyingi san katika maisha yangu.

Hapo mwanzo mabint wengi niliwafata wakanikataa kwasababu ya Unene wangu Jamani nasema ukweli olmots 89% ya wanawake hawapendi Mwanaume Mnene Mind zao zimejaa Negative sana......hapa naomba nisiendelee sana

Tuendelee.... hata hapo mwanzo naanza kuingianae katika mahusiano nilikua na muonekano mbaya lakn huyu bint akanikubalia hope alifata mtonyo asepe 89% mind yangu inathibitishia hilo huwa nafasi tetezi inapokuja na utetezi wake hutokea ubishano mkubwa sana akili mwangu na jibu linabakia palepale kwamba huyu Bint alifanya pesa am be honest huyu manzi nilikua nikimpenda sana.

Nikasema Mimi Mnene hii ndio nafasi yangu pekee ya kuondokana na hii hali basi nikaendekea kumganda huyu manzi kiukweli alionesha kila dalili kuwa hanitaki lakn mm nilikua nikiendelea kumganda na kumuekea hisia za kweli ili aniumize nipunguze mwili hahahah Now naaandika hivi kilinikipita wale waliokuwa wakinikata kisa Mnene wote shobo

Tuendeleee...

Huyu mnzi baada ya kuniumiza na mm kukubali Yale maumivu ili nipunguze mwili sasa hv ndo ananisumbua yani anaonesha dalili zote za kunipenda anashangaa kwanini nakonda haaa mwanaume mwembamba ndo anaempenda basi sasa hivi ananiganda yeye....

NILICHO JIFUNZA....

1.Nikweli ukiwaza jambo katika mind yangu na kuliwish litokee katika uhalisia linatokea kweli. Hii nimekua niikiisoma sana hapa hapa JF Nyuzi nyingi zimeinzishwa kule Jamii Intelligence. Created LIFECODED MSHANA JR APOLLO nk....niwezi kuwamention wote laik salutes sana

Hasa ninaposoma nondo za Codes of life hahahh tuinuke jamani haya mambo nikweli kabisa binafsi yamenifanya niwe huru sana hii elimu kubwa sana na inatolewa kimafumbo fumbo ukiwa na kichwa cha panzi uwezi kuelewa lakn ni elimu yenye uhalisia wa maisha yetu katika uhalisia wake.

2.Bangi inaOpen JICHO LA TATU hii nikweli kabisa hapa kuna siri nzito sana. Wachache wanaijua lakn kwa tamaa zako wakitangazia Dunia hili jani lipigwe vita HAPA KUNA SIRI KUBWA.

3. Sina Dini nashi maisha yangu kwa kufata sharia na kanuni za asili.

Codes zinanizuia kufanya jambo lolote mbaya.

........................TEAM B-13............................

Sent using Samsung Galaxy Note7
Litakua ni jambo jema mkuu, hebu wish basi jiwe atoke madarakan mwaka huu tuachane na hizi namba mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
983
Points
1,000
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
983 1,000
Hongera kwa kusoma nyuzi za hao wakongwe wa hizo nyanja hasa lifecoded Mshana Jr n.k.

Lkn tatizo moja tuu ulilonalo, hizo scenario zako haziendan kabsa na uhalisia wa hizo nguvu.

Huwez kusema eti una unene san mpk mademu wanakukataa, then uote kwamb umepungua huo unene. Yani hilo ni jambo ambalo halina maajabu yyte kabsa.

Mm nina kitu kimoja cha ajabu. Nikiwaza/ota kwamba kitu flan kitatokea halafu contradicting energy isije kwamba hicho kitu hakiwez tokea basi kweli hilo jambo litatokea na likishatokea ndo nakumbuka nliota/waza hili jambo.

Kwa io huwa najitahid san yale mawazo mabaya yanayonijia niyapinge kwenye ubongo wangu kwa nguvu zote

Sasa ww kuwa na stress na unene sijui inaingiaje hukoo.
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,107
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,107 2,000
Embu jaribu kutafiti kidogo kuhusu Bangi ,eti kwasababu labda ulisikia bangi mbaya iko vile iko hivi basi nawe ukaamini ivo bila hata kujua chanzo cha mmea huo,zamani ulitumika vipi ? kwasababu zip? Kwanini tuambiawe haufai n.k jitahidi Kuamini vya kwako na sio vya kuambiwa tuu na pia kumbuka kila kitu kinatumika kwa kiasi kikizidi kina madhara
NB: Kuna njia nyingi za kufungua jicho la tatu sio lazima bangi
ha ha! Nasikitika kuwa bado hujajibu swali langu!tena limekupa nafasi ya kujibu ktk pande zote si bangi tu
Nb:sijui bangi kuwa ni mbaya au sio mbaya hivyo usinilishe maneno.
 
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
18,146
Points
2,000
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
18,146 2,000
sometimes hata mimi hunitokea. .. sema mimi hilo jambo likiwa hasi huwa nalikemea na kulipinga sana in JESUS name...
cc Smart911
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,107
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,107 2,000
Sijakulisha maneno Ndo maana nikatanguliza neno labda ,na pia siwezi kukujibu swali lako kwasababu hakuna mahali niliandika bangi inafungua jicho la tatu,rudia kusoma nilichokuandikia mwanzo
ha ha! Let''s keep it end coz kuna tatizo nimeliona ila usidhani kuwa nakutusi but the good end ni jua unacho jua
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
822
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
822 1,000
ha ha! Let''s keep it end coz kuna tatizo nimeliona ila usidhani kuwa nakutusi but the good end ni jua unacho jua
Sasa wewe unataka tujadile mambo ya jicho la tatu hapa wakati kuna nyuzi humu hukusu jicho la tatu ,ungezisoma kwanza ndo ukauliza swali lako huko ingependeza zaidi, Ndo maana sikutaka kujibu swali lako lote kwasababu nilikuambia mtoa mada kaleta mrejesho tuu kutoka kwenye baadhi ya nyuzi za mshana na lifecoded ,ungekuwa umezisoma ungekutana na mada ya jicho la tatu na jinsi watu walivyojadili na kutoa shuhuda zao sasa apo ungeuliza maswali yako.
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
822
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
822 1,000
ha ha! Let''s keep it end coz kuna tatizo nimeliona ila usidhani kuwa nakutusi but the good end ni jua unacho jua
We unataka tuanzishe uzi kwenye uzi wa watu
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
7,107
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
7,107 2,000
We unataka tuanzishe uzi kwenye uzi wa watu
swali ni jepesi sana wewe ulishawahi kufungua jicho la tatu kwa kutumia bangi au njia yoyote..?
Hata kujibu ndio au hapana ni majibu tosha kuliko ulichoandika simple like that.. kuhusu kusoma huo uzi nilishausoma zaidi ya mara 2.. sasa unatetea kitu usichokijua ama haukielewi...?
Hakuna kosa kujadili kitu ambacho Hata mweka mada amekigusia,nini tatizo..?
Vitu ni simple kabisa lkn sikuelewi longolongo tele.
 
Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top