Habari wana JF,
Leo, nimevutiwa kuandika makala hii, inaohusiana na maswala ya kukua na kuanguka kwa mataifa kwa madhumuni ya elimu kwa wasiojua (kwa wanaojua iwe ukumbusho).
NB: Ntatumia mifano...
UTANGULIZI
Habari za jioni wana jukwaa pendwa kufuatia maoni kwenye huu uzi
Wafahamu viumbe watatu wa kutisha wa baharini - JamiiForums kuna baadhi ya watu walinitaka niandae uzi maalum ili...
Leo tujikumbushe skendo iliyolitikisa taifa la Marekani hasa familia ya Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton kuhusiana kimapenzi na mfanyakazi wa Ikulu Monica Lewinsky.Wengi tumesahau lakini ni...
Salaam.
Huwa nawaona walinzi wawili wa Mh. Rais wamebeba mabegi wanatembea nayo karibu kabisa na Mh. Rais kila aendapo.
Yale mabegi huwa ni ya nini ?
Yamebaba nini ?
The unknown that awaits us in the future can be unsettling, we're living in an era where our conditions, capabilities and understandings are progressing so fast and in so many different...
Ungependelea Mwili wako upitie hali ipi siku ya kifo chako, Udongoni au kwenye moto mkali
Nimekuwa na huu mjadala na baadhi ya marafiki wangu wa karibu kwani tupo katika Mazingira ya hospitali na...
Katika pitapita zangu mitandaoni nimeona watu wengi wakibeza aina ya ulinzi apatiwao rais wetu kwa sasa. Kila raisi duniani ni lazima alinde kwa namna yoyote ile, napenda weka mifano ya pita...
"Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24.
Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami
Ni nani huyo muuaji?
(Sikia...
Dr.Joshua Grubb
(PhD) mtaalamu wa saikolojia alifanya utafiti katika chuo kikuu cha Western Reserve kutaka kujua sababu mojawapo inayochangia watu wasifisafinikiwe kutimiza Malengo waliyojiwekea...
The World's Top 10 Arms Exporting Countries In 2018
The world’s ten biggest arms exporting countries made armament transfers worth more than $25bn in 2018.
Army-technology lists the top ten arms...
Wadau kwa Wakristo katika ile Sala ya Baba yetu uliye Mbinguni kuna maneno yanasomeka kuwa " Usitutie Majarubuni bali utuokoe na yule Muovu."Swali langu je Mungu anaweza kututia Majaribuni?Mie...
JOHN EDGAR HOOVER, MWASISI WA SHIRIKA LA FBI, NA JASUSI MAHIRI NDANI YA USA.
Jina lake halisi ni John Edgar Hoover lakini alipenda kujulikana zaidi kama J. Edgar Hoover. Ni Kachero...
Kuna meli ama sijui ni manowali tatu za Ukraine zilipigwa na kuchukuliwa na Urusi baada ya raisi wa Ukraine kipindi icho Poroshenko kuingizwa mkwenge na wazungu kuwa alianzishe watamsaidia ila...
MENTAL TOUGHNESS SECRETS OF THE WORLD CLASS by Steve Siebold
THE WORLD CLASS COMPARTMENTALIZES EMOTIONS
WALIOFANIKIWA WANAZIGAWA KWENYE MAKUNDI HISIA ZAO.
"Nothing external to you has any...
UCHAWI na MUUJIZA ni masuala tata katika jamii, pamoja na utata wake lakini yamekuwa ni masuala ya kawaida kusikika. Ni kawaida kusikia fulani ni mchawi au nimefanyiwa uchawi. Pia ni kawaida...
Miaka ya Nyuma - wilaya ya Biharamulo ndo ilikuwa Engine wa Ukombozi Kumngoa Idd Amini- Rada iliyotumika ilisimikwa Ruziba . Inasemekana imezeeka inaweza lete madhara kutokana na Mionzi; wananchi...
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu...
Habari wana JF
Salute....
Nimekuja na huu Uzi baada ya kuishi kwa muda mrefu nikiwa nashangazwa na mengi, vitu vingi zinavyotokea katika maisha yangu vinaniachia alama ya mshangao? Mind yangu...
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Ukiitafari hizi...