Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Mlinzi wa Rais wa Tanzania huwa anachaguliwa na rais mwenyewe au kuna utaratibu mwingine unatumika kumpata? Je, Mlinzi huyu anakuwa na likizo? Kama hana likizo, Je, Anapataje muda wa kujamiiana...
24 Reactions
213 Replies
90K Views
As-salaam alaykum, Amani iwe nanyi. Leo ninawaletea picha za video na picha mnato kuhusu namna wanawake wanavyojihusisha katika majeshi ya ulinzi na usalama. Nitajikita hapa Afrika mashariki...
12 Reactions
433 Replies
76K Views
Habari zenu wakuu kuna hali huwa inanitokea ya kufananishwa na watu tofauti tofaut wengine nawafaham na nisio wafaham, nimeona nije nishee hapa pengine kuna jambo ila mi ndo silijui, Nitaweka...
3 Reactions
65 Replies
10K Views
Naandika huu Uzi kwa majonzi baada ya kuona dada zetu wakichukuliwa nchi za Afrika kama Tanzania Kenya Uganda Sudan etc. Na kuchukuliwa wakipelekwa nchi mbalimbali wakiahidiwa kazi na makazi na...
8 Reactions
7 Replies
1K Views
Kanisa la Sabato mwanzilishi mwanamke. Vitabu wanavyotumia vya huyo mwanamke Helen White. Kwa nini hawawapi uchungaji wanawake? Wakati huyo Mama White ndie mhimili wa imani ya kisabato?
17 Reactions
265 Replies
66K Views
Wakuu kuna usafiri wa aina kadhaa ktk Dunia yetu,kama nilivyotaja hapo juu. Kuna wakati majira ya mvua nyingi na kali ukiwa kwenye gari huwa hata wiper zinashindwa kufuta kioo vizuri na...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari za mida wakuu... Ni muda sasa tangu mabishano juu ya uwepo wa mungu kuzuka humu ndani na kutokea kwa makundi moja linaamini juu ya uwepo wa kiumbe huyo... Na lingne halisadiki hamadani...
0 Reactions
455 Replies
40K Views
KUZALIWA NA KUFA KWA CIA WA ZAMANI WA MAREKANI SADDAM HUSSEIN -Mwaka 1959 Sadam Hussein alielekea Misri baada ya kushindwa mapinduzi ya kumuondoa rais General Qassim. -A lipokuwa Cairo Misri...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Naileta hii hoja, ntatoa ujuzi wangu nilionao juu ya hizi Binaural beats, kwa wenye ujuzi zaidi wanaweza kuchangia, criticizing pia inaruhusiwa, ni kwa ajili ya watu kujifunza na kuweza kufikia...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Sasa naweza amini kuwani kweli mtu mweusi yawezekana akawa ana mchango ama ndo chimbuko la usraarabu Duniani. Nimestaajabu katka pitapita yangu katika kujisomea makala nikakuta kuna wachina...
6 Reactions
29 Replies
10K Views
Idara ya uhamiaji katika taarifa ya habari ya TBC 1 usiku huu wamekiri kwamba kuna wahamiaji haramu kibao nchini wasio na vibali na wamewaomba wananchi kusaidia kuwataja. Kilichonishangaza, mie...
0 Reactions
253 Replies
27K Views
Henry Kissinger (Political scientist, Diplomat, pia aliwahi kuwa secretary of States) now ni mmoja wa wanaochochea sana New World Order (au Anglo-American Order kama mchambuzi mmoja anavyoiweka)...
3 Reactions
29 Replies
11K Views
SADC yamuonya Kagame kuhusu mipango yake ya kuivamia Tanzania baada ya kuomba msaada wa kijeshi toka Kenya na Uganda MZOZO wa kidiplomasia alioibua Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa...
11 Reactions
106 Replies
13K Views
NI KWA NINI TUNAAMINI KUWA MUNGU YUPO ? ? ? TAFSIRI : Mungu ni kitu au uwezo aidha hakionekani chenye uwezo mkubwa sana kuliko wa binadamu wa kawaida katika matendo na matokeo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu? huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana...
8 Reactions
41 Replies
13K Views
Imeandaliwa na John Haule wa Rumours Africa Ndugu msomaji, Leo nitazungumzia aina za viganja. Unajua, unaweza ukamjua mtu mwenye tabia ya udokozi kwa kumwangalia tu viganja vyake? Leo naomba...
1 Reactions
152 Replies
114K Views
Katika maisha ya mwanadam kuna baadhi ya mambo ambayo majibu yake huwa hayako wazi na hata ufananuz wake huwa sio rahisi. Baadhi ya maswali hayo ni haya: 1.Uhakika/Uthibitisho wa...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
-Wakuu,naomba kuuliza,hivi wale jamaa wanaokua wamemzngira rais kikwete wanakua wamevaa suti nyeusi huwa ni makomandoo,tiss au wanajeshi wa kawaida tu? -Suala lingine ningependa kufahamishwa nin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kulipuka bomu katika kanisa huko arusha zimenisikitisha na kunitia hofu. Najiuliza mabomu huwa yanauzwa dukani kama Bastola au hutengenezwa kienyeji? Nilifuatilia sana ile habari ya Bomu...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Gazeti la Marekani Cristian Science Monitor lilinakili maneno ya Bw.Patrison ambae alipongeza Jamuhuri ya Kiislam ya Iran kuinasa RQ170 mwaka ulopita akisema: Kunaswa kwa mara nyengine tena ndege...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…