Msaada kuhusu kesi zinazohusisha alama za vidole

BOENG 777X

Member
Aug 9, 2020
11
3
Habari wapendwa poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Naomba wataalamu wa mambo mnisadie hivi kama kuna kitu kilipotea na ghafla kikapatikana ndani kwangu lakini nisikishike kwa mikono yangu na katika eneo hilo kulikua na watu wengi ambao inawezekana akawepo alie weka icho kitu ndani kwangu na baada ya hapo mimi niliomba vifanyike vipimo ili kujua ni nani alikua wa mwisho kushika vifaa hivyo ili aseme alivitoa wapi.

Sasa cha ajabu ni kwamba tangu tukio hilo limetokea ni miezi minne imepita na ndio wameizindua kesi sasa msaada naohitaji ni kwamba hapo mimi kwa upande wangu nitakua matatizoni au nikisimamia msimamo nilio waomba vifanyike vipimo na wakapuuzia na ukizngatia sms na vielelezo vyote vya siku ya tukio bado ninavyo na je? Kama ivyo vifaa wakiwa wameshavitumia naweza kuwabana kwa kutaka kunipa kesi.

Naomba msaada wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom