Wasioamini Mungu mnatafsirije mazingaombwa

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Habari zenu wakuu,

Kuna wale ambao hawaamini uwepo wa Mungu wala wa shetani (atheist).
Naombeni mtujuze pale mazingaombwe yanapofanyika
( mfano ya kumpasua mtu tumbo au kumtenganisha kichwa na kiwiliwili n.k) Je,
ni sayansi gani inayotumika pale?

Manaake Watu walio katika imani husema baadhi ya mazingaombwe ni uchawi, na nyinyi ndio hamuamini uchawi wala shetani,

SASA MTUAMBIE NA MTUELEWESHE NI SAYANSI GANI INAYOFANYWA WAKATI WA MAZINGAOMBWE?
 
Hakuna dini inayokataa kwamba hakuna uchawi...
Rudia tena maandiko..... Nina matatizo ya kukariri mistari ningekupa reference.

Sent from mTalk
 
Hakuna dini inayokataa kwamba hakuna uchawi...
Rudia tena maandiko..... Nina matatizo ya kukariri mistari ningekupa reference.

Sent from mTalk
MKUU HILI SWALI LIMEWALENGA WALE WATU WASIOAMINI KAMA MUNGU YUPO... NADHANI HAUKUNIELEWA
 
Swali gumu lililoshindikana na imani ya mazingaombwe!!! Rudi madrasa au mafundishoni imani yako bado haijakamilika
 
Hilo ndiyo swali lililoshindikana Dunia nzima
?

Mleta mada hujui maana ya Magic trick?

Kama hujui hata tricks zinazotumiwa basi hatuwezi kukulaumu kwa hiyo title yako hapo juu
NDIO MTUAMBIE HIZO MAGIC TRICK ZA KUMKATA MTU SHINGO NA KUIREJESHA VILE VILE KWA DAKIKA CHACHE TU.... SIO UNATOKA NJE YA MADA
 
Swali gumu lililoshindikana na imani ya mazingaombwe!!! Rudi madrasa au mafundishoni imani yako bado haijakamilika
Unaongea tu kwasababu hawa watu (atheist) haujawajua vizuri, hawa ni watu wa vitendo hasahasa vitu vinavyothibitishika, sasa inabidi twendwle nao ivyo ivyo,

ukiwaambia HABARI ZA IMANI HAWAELEWI NDUGU...
 
Back
Top Bottom