Swali kwa Astronomers: Nini kimesababisha nyota kutoonekana kwa wingi angani?

Uko mkoa gani? Hata mimi nikienda mkoani kwetu nyota zipo za kumwaga ila hapa Dar za kuhesabu. Inategemeana na location na msimu katika mwaka. Hata mikoani sio mwaka mzima utaziona
 
Mkuu nimekulia hapa Dar na nilikuwa naziona kwa wingi kipindi hicho lakn kwa Sasa hata kuona moja ya dawa ni shida
 
Wasaalam wajumbe.Nakumbuka kipindi nipo mdogo miaka ya mwishoni ya 80's na mwanzoni mwa 90's ulikuwa ukiangalia angani unakuta nyota zimetanda kwa wingi angani but now days ukiangalia angani unaweza usione hata nyota moja,je nn kimesababisha Hali hii

kamchomeke mjeda kidole,kama hujaona nyoya zote
 
Mtu kauliza swali wachangiaji mnaleta jokes sio poa.

Nijuavyo mimi kuonekana kwa nyota angani wakati wa usiku huwa kunaathiriwa sana na mwanga ardhini mfano taa za majumbani n.k

Ukienda sehemu zisizokuwa na umeme hasa vijijini nyota huonekana vizuri zaidi kuliko kwenye miji mikubwa kama Dar mataa lila kona.

Waweza thibitisha hili siku ukiwa hapo ulipo umeme ukatike na anga liwe clear usiku angalia juu.
 
Sh

Shukran mkuu,uzuri mwezi ujao nina safari za kutembelea vijijini nitachuguza nione but hizi nyota nilizokuwa naziona kutokea hapa Dar na umeme wa majumbani ulikuwa umeenea nyumba nyingi
 
Kwa mambo yanayoendeleaa katika ulimwengu wa sku hiz ukijumlisha na maendeleo ya sayansi na teknolojia
 
Kweli,itafikia kipindi wajukuu zetu watakuwa wanaziona nyota kupitia vitabu tu na sio kuona kwa macho yao wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mara nyingi mwezi ukiwa unaangaza sana kuonekana kwa nyota kunakua hafifu sana.

Lakini pia uelekeo wa dunia nao unachangia. Kwa sababu dunia inazuka jua.
Na jua linazunguka pamoja na sayari zake kwenye galax.
Na angle iliopo jua kwenye galax yetu ni mkiani, kwa sababu hio ni nyota chache sana tunaweza kuziona kwa macho.
Na kwa hivyo dunia ikibadilisha uelekeo kutokana mzunguko wake pamoja na jua ndivyo twaweza kuzuiona na kutoziona kwa wingi nyota huko angani.
 
Hapo kwenye kuzunguka duniaa ndo bado huwa inaniwiaa vigumu kuamini hii nadharia
 
Back
Top Bottom