Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi? Je, ukweli ni hiki tunachokiona au tunachokisikia? Je, ukweli ni kile tunachokihisi au tunachokigusa au kinusa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi? Je...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Nitangulie kwa kusema Utamaduni ni neno pana linalojumuisha mfumo mzima wa Maisha, lengo la Uzi huu ni kuonesha ni jinsi gani tulivyoubeba utamaduni wa kigeni na kuufanya dini zetu na pengine...
38 Reactions
415 Replies
30K Views
BOOK SUMMARY: WHITE POISON (A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !) MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej MCHAMBUZI: Ghost Writer([emoji317]) Tuanze kwa...
8 Reactions
77 Replies
11K Views
Habarini za asubuhi wanaJF, natumaini mko wazma sana na Pole ziende kwa wagonjwa. Leo Naomba nilete uzi huu wenye mada ya magereza matano duniani yenye hatari yake kwenye uzuri wa miundombinu...
12 Reactions
40 Replies
8K Views
Mtakumbuka gari moja jeusi lenye antenna kibao lililokuwa likiambatana kwenye misafara ya rais mabarabarani. Hili gari lilikuwa kwenye misafara ya Rais Magufuli enzi za uhai wake. Nimeshindwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Poleni na mihangaiko ya kimaisha. Kwanza kabisa nianze kwa kusema nimekuwa na hili swali fikirishi sana kuhusu dini hizi mbili Uislam na Ukristo na mpaka sasa sijapata majibu...
5 Reactions
70 Replies
9K Views
Kuna nadharia nyingi ambazo zimekuwa zikieleza kuhusu asili ya binadamu.Kwa wakristo,Biblia imeeleza pia kuhusu asili au chimbuko la mwanadamu. Biblia imeeleza jinsi mtu alivyopatikana tu,ila...
3 Reactions
156 Replies
45K Views
As i was sitting looking at the sky, i saw the sky colored by beautiful, yellowish, and gold-like color of the setting sun. It was like the sky was burning except it was beautiful and...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
SIKU MOJA NIKIWA KATIKA KIJIJI CHA NJUNGWA MKOANI MOROGORO,NIKIWA NA BABU YANGU MZEE CHILUNDA AKINIFUNDISHA BAADHI YA DAWA ZA MAJINI NAKUMBUKA ALINIAMBIA ”BABU UNAONA HIZI KUNDE,UKIZIPIKIZA NA...
9 Reactions
109 Replies
20K Views
Sisi hatupo vitani,ila tunayo ya kujifunza. 1. Miaka mingi iliyopita Armenia ilitandika Azerbaijan na kunyang'anya maeneo makubwa. 2. Mwaka 2020 Azerbaijan ilijipanga ikaanzisha vita, Armenia...
8 Reactions
87 Replies
10K Views
Nimekuta hii post kwenye ukurasa fulani wa facebook kuhusu namna Nigeria wanatumia mabilioni ya Naira kugharamia shughuli za dini zinazohusisha kuombea maendeleo ya taifa kila mwaka nikapata...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Humans are Magical Creatures In contrast to all other creatures which are all magical,Humans have the capability to take form which is lacking in all other Magical creatures. There are four...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nikiwa kama shuhuda wa uvuvi wa dagaa katika Ziwa Victoria, mwanzoni mwa 2000s, nimeona nishare nanyi juu ya intelligence itumikayo katika uendeshaji wa shughuli za uvuvi katika Ziwa hilo. Ziwa...
20 Reactions
157 Replies
30K Views
Nimepata kujiuliza hawa matajiri ambao wanakuja kwa kasi au wameshika kwa sasa kama elon musk,jeff bezos na wengine.ila nitapenda kuwazungumzia hawa wawili. Tuje kwenye nini maana ya uwekezaji ...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
hili ni suala ambalo limekuwa likinitatiza sana. kwenye quran kuna nabii anaitwa Issa Bin Maryam. nmekuwa nikimsoma mara nyingi na kusoma hadith mbalimbali za quran. nachojiuliza ambacho naomba...
8 Reactions
235 Replies
37K Views
Kulikuwa na uongo unaenezwa chakula cha mh Rais lazima kipimwe tena lazima ale MTU mwingine kabla yake.. Magufuli amethibitisha sio kweli, kama mnakumbuka alikula kwenye mgahawa Mwanza, Jana kala...
5 Reactions
111 Replies
24K Views
Wakuu, Nini lengo la viongozi kukagua gwaride?Mbona naona huwa anapita tu hata wakati mwingine hawaangalii hao wakaguliwaji? Nilitegemea kiongozi awe na ile" attention to details" ili aweze...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Viongozi wa nataifa mbalimbali wakitembelea nchi yetu, magari husimamishwa kupisha msafara na Rais wa Taifa kama Marekani ndio kabisa mji mzima unaweza kusimama (nakumbuka kufuru ya msafara wa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwanza lazima utambue kuwa kama kuna kundi hatari duniani kwa ukatili, ubabe na utajiri basi ni makundi ya wauza unga... Hawa ni zaidi ya makundi ya kimafia na kigaidi Makundi haya huwa na himaya...
46 Reactions
174 Replies
41K Views
Wakuu aina hii ya sare (uniform) sijawahi kuiona katika moja ya majeshi ya Tanzania.Kuanzia polisi,JWTZ,Mgambo wala kwingineko.Je naweza kufahamishwa aina hii ya sare ni mpya kwa majeshi yetu au...
17 Reactions
438 Replies
94K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…