Afrika tujitafakari tuna safari ndefu ya maendeleo

Afrika tujitafakari tuna safari ndefu ya maendeleo

mwakavuta

Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
99
Reaction score
307
Nimekuta hii post kwenye ukurasa fulani wa facebook kuhusu namna Nigeria wanatumia mabilioni ya Naira kugharamia shughuli za dini zinazohusisha kuombea maendeleo ya taifa kila mwaka nikapata mshtuko.

Sipingi dini, sipingani na Mungu namwamini na kumwabudu, swali ninalojiuliza ni kwamba haiwezekezani kufanya shughuli za kidini na maombi kwenye mataifa yetu wenyewe bila kwenda kwenye nchi zinazoitwa takatifu ili kuokoa gharama zinazotumika zikafund miradi ya maendeleo kwenye nchi zetu?

Kama inawezekana kupunguza baadhi ya hizi safari zikabaki za lazima tu waafrika tunaweza kufika mbali sana, maana ninachoamini mimi ni kwamba Mungu anaweza kuabudiwa na kuombwa na mtu yeyote na akajibu ukiwa popote.
hii ni kwa Nigeria tu vipi kuhusu mataifa mengine ya Afrika?

NIGERIA: A COUNTRY OF PRAYER IS THE KEY
Nigeria has more Catholic Knights than Italy.

Nigeria has more Anglican Knights than England.

Nigeria has more Alhajis than all Arab countries combined.
This is not entirely bad.

Ironically, this our religiosity does not reflect in the religious and moral fabric of the nation!

Each year, we budget billions of Naira sending our people on pilgrimages to Mecca and Jerusalem to pray.

We pray for development.
We pray for long life and good health.

We pray against sudden death.
We pray against accident of any kind.

We pray for employment.
We pray for peace.

Above all, we pray to make heaven!
In the year of the Lord Two thousand and eighteen (2018), we will spend 250 Billion Naira to sponsor pilgrims to pray for the development of Nigeria among others.

250 billion Naira can build 250 model schools.
250 Billion can build 100 modern Health centres.
250 billion can immunize all children in Nigeria.
250 Billion can build 250 brand new roads.
250 Billion can build 1000 new housing estates.
250 billion can create 100,000 new jobs.

We choose not to do any of these.
Rather,
We choose to spend that amount to go pray for development!
We choose not to spend that amount to take care of our health, Rather, we choose to spend it to go and pray for our health!

We choose not to spend that amount to build schools and train our children to be wise, we choose to use it to go and pray for wisdom!

We choose not to spend that amount to build good roads to avoid and reduce car accidents, we choose to spend it to pray against accidents.

These are our choices. We will live with them.

Close your eyes and imagine!
How much resources have we spent over these years to pray instead of using them to develop our country?

There is nothing wrong going on pilgrimage to pray and seek the face of God or Allah or other supreme being. But, it should be entirely a private affair!!!

Written by Ogieva Uwagboe Ogieva
May be an image of one or more people, people standing and indoor
 
Steven Biko aliwai kusema.

Mungu hawezi shuka toka mbinguni kuja kututatulia matatizo yetu ngozi nyeusi ni jukumu letu sisi wenyewe kujipambania.
 
Watu wanao beba lawama juu kutoendelea kwa Afrika ni wazungu

Speech ya P.W.Botha ni mwimba mchungu kwa waafrika.
 
Kwa kweli shughuli za kidini zimekua Ni nyingi mno na zenye kuwa na gharama kubwa Sana haswa huku kwetu kunakochipukia.

Kwa mfano huku kwetu Safari za hija kwenda Israel Ni karibuni million 6, huko hakuna kipya kitakachokutwa huko lakini wanagaramika!
 
1. Maji ambayo waisilamu wanayapoteza kwa kutawaza kila siku,yakipangiwa matumizi mengine kama vile kilimo cha umwagiliaji,taifa linaweza kuzalisha mazao mengi sana.
2.Sera ya waislamu ( mwanaume kuoa wake wanne)wake ambao kwa mujibu wa dini wanatakiwa kukaa nyumbani na mwanaume ndo aende kutafuta, inapunguza nguvu kazi ya taifa na kuongeza utegemezi.Sera mbovu kama hizi ndo zinafanya uchumi wa nchi za kiafrika kuwa duni mana population inakuwa kubwa,watumiaji wanakuwa wengi ila wazalishajo wanakuwa wachache.
3.Idadi ya miti ambayo wakristu wanaipoteza kwa kuchonga majeneza na kutengeneza mabenchi kanisani ingetosha kabisa kumaliza tatizo la madawati kwa wanafunzi lakini ni chanzo cha uharibifu wa mazingira pia.
 
Duh, Nigeria wamezidi. Mi nijuavyo Mungu husikia maombi yetu pahali popote pale tulipo. So hii issue ya kutumia pesa ya raia kufadhili safari za nje, that's not proper calculations at all. Huo ni ufujaji wa hela ya mwananchi alie mtaani akihangaika na maisha. Best thing to do was, kutumia hizo hela kujiendeleza kwenye sector tofauti tofauti zinazokuwa na direct impact kwa wananchi wa level ya chini kwanza, i.e improving education, security, food circulation, jobs, infrastructure nk.
Nakubaliana na mleta mada, from this issue, Afrika tuna mwendo mrefu bado, yaani hatujafika kwenye tunapaswa kuwa kwenye century hii. Ukiangalia tuna kila kitu Afrika kuanzia rotuba nzuri hadi madini lakini havisaidii kabisa, na havitasaidia kama sampuli ya governance and overall thinking from the top tier people ndio hii.
NB; This is my personal opinion and I stand to be rectified by anyone who doesn't agree with it.
 
Nyie si mnasema maombi yenu yakiongozwa na marehemu nduli mwendazake yalifukuza Corona mbona tena mnawaponda wNaija wakifanyia maombi?
 
Back
Top Bottom