salisalum
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 434
- 159
Mtakumbuka gari moja jeusi lenye antenna kibao lililokuwa likiambatana kwenye misafara ya rais mabarabarani. Hili gari lilikuwa kwenye misafara ya Rais Magufuli enzi za uhai wake. Nimeshindwa kuweka picha hapa ya gari hilo.
Huo ni mtambo maalum wa kuzuia simu za mkononi eneo analopita rais zisifanye kazi. Watega mabomu hutumia teknolojia ya simu za mkononi kuyalipua. Na hufanya hivyo hivyo ili yalipuke kwa wakati na muda sahihi wakati ambapo target waitakayo itakuwa usawa wa bomu lililotegwa ili kusababisha madhara makubwa.
Mtambo huu hutumika kwa viongozi wenye ulinzi mkubwa sana duniani.