Part 6: TISS Bado safari ngumu

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Hatimaye yametimia, Part -1 ya mada hii nilizungumzia jinsi idara hii ya Usalama ilivyojaza vijana wengi wa UVCCM wasio na weledi wowote na masuala ya Intelligence, bali wako hapo kuhakikisha eti CCM inatawala milele na siyo Tanzania inasonga mbele.

Kwanza kabisa nataka ifahamike kuwa ,TISS ni taasisi ya kijasusi iliyoundwa kwa maslahi mapana zaidi ya Tanzania na siyo CCM, kwa hiyo kodi za watanzania zinatumika kwa ajili yake,na yoyote anaruhusiwa kukosoa na kushauri idara hii, Lakini hairuhusiwi kutoa siri za idara wala kukashifu.

Wiki iliyopita mtu anayejiita "state agent" na mwenzake YEHODAYA wamenitishia uhaiwangu eti nataka kufanya uhaini, kichekesho kweli, kumbe hata ushauri na kukosoa ni uhaini?
Kama idara ina recruit watu sampuli hiyo basi kazi ipo.

Kwanza mada zangu haziko kisiasa bali kizalendo, walichotaka wao ni mimi niungane nao kwenye praise team.

Tayari nimeshawajua kwa majina yao wote, hawa ni vijana wa UVCCM na makao yao ni Lumumba, na wala hawako kwenye list ya vijana wachache wa TISS waliopikwa wakapikika, YEHODAYA na state agent ni makada wa damu wa CCM.

Hawajui maana ya utaifa, wanachojua ni CCM tu.
Mwingine ana ID ngumu Kama mzizi wa kisomali eti naye akadai watanisubiri Gongo la mboto wanimalize.

Hawa ni wa kuonea huruma sana,hivi unaweza kuikamata roho,?

Mimi ni roho, sina mwili ,ningekuwa na mwili wangeweza kunipata, sasa roho wataitoa wapi?

Ni wachache wataelewa namaanisha nini.
Labda nishauri kidogo tu kwamba, wale waliosema kuwa hatuwezi kujilinganisha na Mossad, CIA, MI6 na mashirika mengineyo makubwa ya kijasusi walitaka tufanyeje ili tufike huko?

1961,China ilikuwa maskini Kama Tanzania, wakati ule mji mkuu wa China ukiitwa Peking, matela ya punda yalipita mitaani.

China ikaunda kikosi kazi cha kijasusi kilichopewa jukumu moja tu la kwenda kwenye mataifa yote yaliyoendelea ili kuiba Teknolojia na kuileta China.

Baada ya miaka 20 baadae wachina walikuwa Tayari wameiba zaidi ya Teknolojia 15 zikiwemo za magari, ndege na Nuclear.

Wao waliamua wawe na mfumo wa chama kimoja tu chenye uzalendo uliotukuka.

Na ndo ilitakiwa nasi tuige intelligence za aina hiyo, siyo intelligence ya kuwawinda wakosoaji wa Serikali

Inaendelea

 
Intelligence ya kuwapitisha bila kupingwa wagombea wote Wa ccm nchi nzima bila kupingwa!

Mkurugenzi mpya nafikiri ndie aliyeshauri upuuzi huu au ameunyamazia upuuzi huu ili kumfurahisha "mungu mtu mwenye serikali"!

Taifa haliwezi kuendelea kwa upumbavu huu!
 
Hautaki upinzani ,hana loloteView attachment 1255145
Kweli wewe ni mbumbumbu la kutupwa, hujui kuwa nilikuwa natoa kejeli, halafu bwana mdogo huna lolote la kunifanya, Hakunaga Duniani state agent dizaini yako, pole sana, wewe ni buku 7 tu.
Tazama unavyohangaika ku copy mada zangu, hata English hujui.
Duh kumbe wewe ni chizi acha nikupuuze kabisa
 
Hapa naendelea na majukumu huku nasubilia kesho nyoo wewe ,kila siku TISS TISS nenda uombe kazi uone mbwa wewe unadhani ni kudance hapa

Hahahahahah.......
Chizi ktk ubora wako, JF ina Moderators, ingekuwa mada mbaya zisingebaki humu, mada zangu wanasoma hadi mawaziri kibao na kubaki kimya maana zina logic, leo kichaa mmoja unaibuka na udenda.
 
Back
Top Bottom