Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habari ndugu wapenzi wa JF natumai ni wazima wa afya tele kabisa na iwapo mlioko mpo katika michikariko basi ni kupambana tu na changamoto za maisha kwani hakuna njia isiyo na visiki au vilima,leo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Umbo la mwezi hubadilika na hata rangi yake, lakini tangu jadi binadamu amekuwa akivutiwa na maumbile yake. Kuna Mwezi Mpevu, Mwezi Mwandamo, Hilali na hata wakati mwezi hupatwa na jua. Hapa ni...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu! Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili...
5 Reactions
98 Replies
11K Views
Ilikuwa Siku ya Jumapili ya tarehe 25 May 2003, ndege aina ya Boeing 727, iliyosajiliwa kwa namba N844AA, iliibiwa kwenye bwana wa ndege wa Quatro de Fevereiro Airport, Luanda, Angola. Kupotea...
15 Reactions
43 Replies
7K Views
Habarini wanajamii intel... Leo nimeona ni vema namimi kutoa contribution yangu kwa idara yetu nyeti ya usalama wa Taifa juu ya usalama kutoka katika mrengo wa kimazingira - Environmental Security...
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili. Leo ningependa kushea na nyinyi kuhusu hiki kitabu ambacho tangu nikisome takribani miaka kadhaa hivi wakati nipo chuo kiliweza kubadili mtazamo wangu kwa kiasi...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Sio kwamba kwenye utawala wa BM na JK siri za serikali na viongozi wake zilikuwa hazivuji zilivuja ila sasa imekuwa too much. Alianza Mange kuvujisha mambo very sensitive na alileta taaruki kweli...
50 Reactions
342 Replies
47K Views
Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu mimi hapa nataka kuuliza ivi kuna nyota dhaifu kuliko nyingine? au nyota yoyote inaweza kung'alishwa na wataalamu ikang'aa na pia nyota yoyote inaweza kufifia ikiwa haijang'alishwa? Na je...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi ni viapo kwa kifupi vya wanachama wa Jesuits na unaweza pia kuvipata kwenye mtandao huu: http:www.zenit.org Huu ni mtandao wa ROMAN CATHOLIC nitaviweka hapa chini.... Ukweli ni kwamba...
5 Reactions
79 Replies
23K Views
Wakuu, Confidence ya huu uzi sina, naogopa kuandika hapa, ninatetemeka, maana hii taasisi inatisha kuliko hata amateur jihad fighters. So I'll keep it short and sweet ila Jesuits, I'm sorry in...
12 Reactions
214 Replies
26K Views
UJASUSI WA KIDINI SEHEMU YA TATU KUTENGENEZWA NA KUZAMA KWA MELI YA TITANIC. Baada ya Wajasuiti kupenya kwenye mifumo ya serikali ya Marekani, kama tulivyo ona sehemu ya kwanza na ya pili...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
UJASUSI WA KIDINI SEHEMU YA PILI MISSION YA KUIVAMIA AMERIKA NA SERIKALI MAARUFU DUNIANI 1. BUNGE LA VIENNA (AUSTRIA) Watawala wa ulaya waliitisha baraza kuu huko vienna, austria mnamo 1814...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimemsikiliza Jana CDF Jenerali Mabeyo akisema Kwamba takriban Vijana 854 wamefukuzwa Jeshi kwa Kufanya maandamano na Kugoma ambapo alisema ni uasi. Je, Hao Vijana Kama Walikuwa na Uwezo Wa...
8 Reactions
168 Replies
20K Views
Habari wakuu, Hivi ulishawahi kudhulumiwa na ukaamua kupiga goti ukamuomba mungu ampe siku nyingi mdhulumaji wako ili siku ukifanikiwa akuwe shahidi, huku kimoyomoyo ukisema mungu atamnyoosha ila...
7 Reactions
42 Replies
6K Views
HATA BINADAMU WA SASA IPO SIKU ATOWEKA (EXTINCT) [emoji117]Iko hivi, hakuna species yoyote ambayo itaishi milele(hakuna immortal species),Kila kundi la viumbe wa jamii moja(species) ipo siku...
28 Reactions
46 Replies
6K Views
Watoto wenye akili za ziada milion5 wazalishwa kila baada ya miaka10 us chember place,watoto hao wako shapu na wakiwa mbele ya muda kwa kila skills,wakati sisi tunapambania kujazana vyuoni na kula...
10 Reactions
40 Replies
5K Views
Mbali na kuwa wenyeji na wahusi wa dunia hii lakini tumekuwa kama watwaliwaji watekelezaji wa sanaa za maisha ndani ya dunia yetu,tumekua tukiona visivyo halisi na kufanya yasiyo thabiti je hii...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu. Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea. Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ? Masikio...
9 Reactions
71 Replies
20K Views
"Ukiwa kwenye taamuli unaona kilichokuwa kinaendelea akilini mwako wakati wote" Allan Lokos. Zipi hasa ni baadhi ya FAIDA za kufanya taamuli vyema na mara kwa mara; 1. Taamuli(meditation)...
8 Reactions
10 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…