Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Amani iwe nanyi wana wa Mungu Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa, naamini hata we ulipo uko mzima wa afya na mwenye nguvu. Bibilia imeandikwa Hapo mwanzo Mungu...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Katika kuperuzzi vitabu library leo nimevutiwa kukushirikisha kuisoma KAMUSI YA SHETANI (By Bierce A.), nakuomba tuongozane pamoja katika tafsiri ya baadhi ya maneno niliyoona kwa namna moja au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata...
7 Reactions
64 Replies
6K Views
Sina budi kusema kuwa inawezekana tumedanganywa sana au nimepotoka pia kuamini hili. Kupitia speculations zangu nimekuja kung'amua kuwa hatupaswi kuwa na ugomvi wa kidini na kimadhehebu kwa kuwa...
11 Reactions
41 Replies
7K Views
Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa Mbinu tano ni njia za mahojiano zilizobuniwa na jeshi la Uingereza na kutumika wakati wa machafuko Ireland ya Kaskazini. Mbinu hizi...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza hasa pale unapo waza utofauti wa utashi,maisha teknolojia na maendeleo uliopo baina ya waafrica na wazungu. Unaweza ukajiuliza kwanini? wametuacha mbali sana...
8 Reactions
138 Replies
26K Views
Sababu ya usiri wa kazi zao imefikia mahali tunawalaumu sana kwamba hawafanyi kazi ila tukichukulia yale ambayo yamewekwa hadharani kuhusu utendaji wa hawa jamaa basi hatuna budi kuwaheshimu na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari yenu wana Jf Bila Shaka mpo salama na kuzidi kupambana na Maisha ya kila siku. Kama ilivyo Ada hapa Jamii intelligence tunapashana habari mbalimbali za nadharia na zenye uhalisia Kama...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za mida hii wajuzi wa mambo katika jukwaa pendwa la Jamii Intelligence :' Leo napenda kutoa mchango kidogo sana, inaenda kuhususiha Artificial creaation( uumbaji bandia) unavyochukua...
22 Reactions
129 Replies
14K Views
Katika ulimwengu tunaoishi tumefumbwa vingi na wachache werevu pengine ni kwa makusudi au ni kwa malengo fulani ambayo hili yatimie imewapasa kufanya hivyo, Leo naomba kugusia interest za wana...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kila mtu amesikia au kuoana kwa uhalisia, taarifa au katika filamu mateso na ukatili binadamu wanaofanyiana kati yao. Tofauti katika mateso ya binadamu mmoja kwa mwingine na yale wanayofanyiana...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Hodi wakuu wataalam wa mambo. Leo ninahitaji mnisaidie jambo moja kuhusu nguvu iliyopo ndani ya damu inasababishwa na nini? Damu kimekuwa ni kitu ambacho kinaaminika kubeba maajabu na nguvu za...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
KUNA USEMI HADI LEO WANAAMINI KUWA SIKU MOJA MBINGUNI NI SIKU ELFU MOJA DUNIANI ILA UKIANGALIA DUNIA IMEPITA MIAKA ZAIDI YA BILLIONI OF YEARS HADI PALE WALIPO JUA KUHESABU NA KUANZA MWAKA 1 HADI...
12 Reactions
242 Replies
25K Views
'Kufa kufaana' tupo duniani 'kuchumia tumbo' na hakuna dhambi nikitenda dhambi kwa sababu ipo hili niitende niishi, Niende moja kwa moja kwenye hoja:- Lengo la kutengeneza silaha nikuua watu, nia...
5 Reactions
49 Replies
7K Views
Salute! "Nina uhakika wote kuwa tukio lile litakuwa la mwisho kutoka kwenye ubongo wangu. Watu walishangilia nilipoinama kuzoa damu ya mama'ngu sakafuni. Nilishuhudia kwa macho wakichinjwa...
52 Reactions
193 Replies
54K Views
Katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Msumbiji(1977-1992). Tanzania ilikuwa ikiwaunga mkono wajamaa wenzao FRELIMO dhidi ya RENAMO. Kawaida tulikuwa tukiaminishwa kuwa RENAMO ni waovu wasiofaa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja ya ushahidi wa mwanzo wa kusulubishwa kwa Warumi umepatikana katika mji uliyo katikati mwa Uingereza. Mfupa wa mwanamume uliyokuwa na msumari kupitia kisigino chake ulipatikana katika mji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Unapochaguliwa kuwa Rais wa nchi ni lazima kwanza uhakikishe kuwa Intelligence ya Taifa unaloliongoza iko imara kuliko chochote. Yaani hata panya lazima ujue anawaza nini,siyo rahisi kwa Taifa...
27 Reactions
54 Replies
7K Views
Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina. Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3...
15 Reactions
113 Replies
14K Views
Back
Top Bottom