Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi.
Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuna msemo una sema " ukitaka kuleta maendeleo ktk taifa lolote, badili au weka mfumo mzuri wa Elimu". Hivyo Basi naomba kuwasilisha kwa wadau swali langu kuwa;
"Elimu...
Mada ya timetravel sio ngeni hapa JF ila tumekuwa tukijadili labda ule ushaidi wa charlie chaplin wakati wamemaliza kurekodi ikaonekana mtu hana ongea na simu wakati miaka hiyo kuanzia simu...
Moja kwa moja mada yahusika
Hivi msingi wa kuogopa kifo kwa wanadamu ni nini?
Unaweza pata experience yoyote? Kwamba kuna maumivu au baada ya kufa ndio kuna maumivu?
Hata mimi najua nitakufa...
Maneno ya Marehemu Remmy Ongala katika wimbo wa Kilio ukiyasikiliza kwa makini yanaleta hoja nzuri nzuri juu ya mapokeo ya dini, ujio wa Yesu na namna wakoloni walivyotuchota na kutulisha matango...
Baada ya Mwenyezi Mungu kumpa Mchoro kamili wa Ramani ya SAFINA nabii NUHU:- Unadhani Kwa Ufahamu unaoujua wewe au Kwa Dini uliyoisoma wewe, Huyu Nabii Nuhu alitengenezaje Boti ile Kubwa zaidi...
1) Vita ya Nyuklia (Nuclear Armagedon)
Bomu moja la Nyuklia lina uwezo wa kusababisha kifo kwa asilimia 80 hadi 95 kutoka eneo lililoripuliwa kuelekea umbali wa kipenyo cha Km 4 ingawa uharibifu...
Good day wakuu!
Baada ya kupona dhoruba la kunyimwa Uhuru wa kubanguana bongo....tuendelee kupeana vitu adimu na adhimu kwa afya ya ubongo..maandishi yenye kuprovoke thought and intellectual...
Jina lake halisi ni Chukwudi Dumeme Onuamadike AKA EVANS... Ndie alikuwa mtekaji tajiri, maarufu na katili zaidi nchini Nigeria.. Akijulikana k Bilionea EVANS....
Historia yake ya utotoni...
Kila mda kutafakari kuzidi kutanua akili zetu na vitu vingi vilivyo humu duniani.ndio maana elimu ni bahari sijui na atujui tunajifundisha.kuna mchoro ambao mpaka leo uliochorwa na msanifu mzuri...
Habari za kazi wanajukwaa, bila ya kupoteza muda niende kwenye mada.... Je biblia iliiga simulizi zake kutoka dini za kipagani na kuhadaa watu kuwa ni stori za ukweli???
Kwenye biblia kuna...
Sitaki kuongea mengi, pitia haya maandishi kutoka kwenye hii nyalaka, ambayo kwa muonekano ni kama vile ni ya Roman Catholic.
Ninachotaka kujua, hii tafsiri ni sahihi? Na Je, kama sio sahihi...
Jina lake ni Hebron Wilson Kisamo wa huko moshono Arusha,ni mtumishi wa Mungu anayesema ukweli na kuwaumbua viongozi wakristo wapiga dili na waongo.Mtumishi huyu anafichua mambo yafuatayo...
Ifuatayo ni orodha ya wanasayansi & watu wengine mashujaa duniani ambao hawakuwahi kuwa hata na girlfriend or boyfriend.
[emoji117]Isaac Newton.
[emoji117]Nikola Tesla.
[emoji117]Jeremy Bentham...
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama...
Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao.
Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania.
Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo...
FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7).
DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa...
Nimekuwa na maswali mengi kuhusu biblia pindi navyoisoma na kukosa majibu au mtu wa kumuuliza kwa wale ambao Mungu amewapa uwezo wa kutafsiri kitabu hiki kitakatifu ninaomba mtupe majibu yenu...
• Harusi ya Binti wa Mobutu ilipambwa na wageni 7500
• Keki iliagizwa Ufaransa Kwa ndege Maalum
• Gauni iligarimu Dola za Kimarekani 75,000
• Mikufu ya almas, iligarimu dola million 3
Kwa miaka...
Watu wamekuwa wakiteswa kila siku na akili zao wenyewe kiasi cha kufikia hatua ya kuwatembelea wanasaikolojia,waganga wakienyeji au madaktari wa akili kuwanusuru na majanga haya.
Wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.