naomba maelezo kidogo kuhusu hili,Anapo kufa Roho huenda Kuzimu,
Roho ikienda kulia huenda Paradiso, na ikienda kushoto huenda Kolomije ambako ndio kuzimanaomba maelezo kidogo kuhusu hili,
..unamaanisha mtuakifa lazima roho iende kuzimu..?
..umejuaje kwamba roho huenda kuzimu..?
Roho ikienda kulia huenda Paradiso, na ikienda kushoto huenda Kolomije ambako ndio kuzima
...Bora kolomije kuliko roho iende kulia paradiso,Roho ikienda kulia huenda Paradiso, na ikienda kushoto huenda Kolomije ambako ndio kuzima
Roho yako ndio itaenda kuzimu acha kugeneralize mambo we mzeeBinadamu ana mwili, Roho na nafsi .
Anapo kufa Roho huenda Kuzimu, na mwili huenda kaburini. Je nafsi huenda Wapi?
Roho haina maumivu ila kitakacho fanyika ni kuujua ukweli na ukweli ndo utaitesa nafsi na rohoNielewavyo mimi mwili ukishaachwa roho unaenda nyumbani/kwenye ulimwengu wa roho ama inaweza ikakomaa ikabaki ikitangatanga (lugha rahisi ndio hao wanaowaita mapepo nk)
Kuhusu kuzimu /motoni na bla bla mingine hivyo vitu havipo. Jaribu kutafakari mwenyewe unaichomaje moto roho@$?!#
Nafsi itaenda Wapi?Roho yako ndio itaenda kuzimu acha kugeneralize mambo we mzee
Nini tofauti kati ya Roho na nafsi?Udongo+Pumzi ya Mungu= Nafsi hai.
Udongo-Pumzi ya Mungu=Maiti.
Mtu akifa Roho yake (pumzi ya Mungu Humrudia Mungu mwenyewe.
Duh! Mtaalam umetisha kuidadavua kuzimu.Roho ikienda kulia huenda Paradiso, na ikienda kushoto huenda Kolomije ambako ndio kuzima
Roho ndo PumziNini tofauti kati ya Roho na nafsi?
Mh jamani mbona haya mambo nimagumu hivi??ok siku tukifa tutayajua yoote haya,nauhakika katiyetu woote hakuna atakaye fika mwaka 2100 so just wait
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us