Bahari huenda ikawa bara la saba duniani na miji ya kisasa kujengwa ndani yake kwa sababu zifuatazo:

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
500
Majaribio mbali mbali yamekwisha faulu kuhusu kuishi ndani ya maji Bahani mfano kuundwa kwa nyambizi na hotel za kitalii chini ya bahari mfano mjini Unguja Zanzibar.

Wingi wa watu duniani,dunia timesuhudia uhaba wa ardhi na kupelekea migogoro kama Zimbabwe,Afrika ya Kusini a kwingineko,maeneo ya maziko ni shida sababu ya wingi wa watu

Utalii na kadhalika

Nb: filamu m maarufu ya black Pànther iliyoigizwa na msAnii toka Kenyà lupita hAmjamtendea haki mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya watoto aliebuni aina ya Ndege mlizozitumia jina LA kitabu millet Chenye picha ya mtoto mwàfrika wa kiume alievaa cheni kubwa shingoni na kuzingirwa na kimbunga

Instagram:kaukwaju
 
tejay

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,256
2,000

Mbona haueleweki, alafu dunia haiewez kujaa watubwakakosa sehemu za kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,335
2,000
Nb: filamu m maarufu ya black Pànther iliyoigizwa na msAnii toka Kenyà lupita hAmjamtendea haki mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya watoto aliebuni aina ya Ndege mlizozitumia jina LA kitabu millet Chenye picha ya mtoto mwàfrika wa kiume alievaa cheni kubwa shingoni na kuzingirwa na kimbunga

Instagram:kaukwaju
Black Panther imeanza kusimuliwa toka mwaka 1966!.
 
Lucky Star

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,157
2,000
Ungesema walioko sehemu zenye idadi kubwa ya watu na miji yenye misongamano hawataki kutoka. Wanadhani fursa zao ziko huko tu kumbe ni fikra tu.

Hakika dunia bado sana ili kuijaza. Wanaofanya hivyo ni ubunifu unaowapelekea wao kupata pesa.

Utajiri wako ni pale unapotumia wazo chanya huku mwenzio ukimfanya aamini kinyume chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom