Ni kweli Ashraf Marwan "a Superspy" ndiye aliyeikoa Israeli na kipigo kipindi kile cha Six Day War?!

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
521
1,000
Superspy bwana Ashraf Marwan alikutwa amekufa huko Nchi Uingereza katika jiji la London alipokuwa akiishi katika jumba aghali la kupanga la Carlton house.

Mwamba huyo "Angel" inasemekana alikuwa ni double agent baina ya Nchi yake ya kuzaliwa Misri na Israel.

Hakika kifo chake kilijawa na utata wa nina hasa alimuua!

Soma Who killed the 20th century’s greatest spy? | Simon Parkin

Tazama:

Sasa kwa anayeifahamu vyema historia ya huyo mwamba na atuwekee hapa.

Pia,je ni kweli ndiye aliyevujisha siri ya kushambuliwa Israel kwa ndege vita za Misri?

Nawasilisha.
 
Hypershulemia

Member
May 19, 2021
31
95
𝓝𝓰𝓸𝓳𝓪 𝓷𝓲𝓼𝓱𝓾𝓼𝓱𝓮 𝓾𝔃𝓲 𝔀𝓪 𝓱𝓾𝔂𝓸 𝓳𝓪𝓶𝓪𝓪 𝓷𝓲𝓴𝓲𝓹𝓪𝓽𝓪 𝓶𝓾𝓭𝓪...
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,469
2,000
Superspy bwana Ashraf Marwan alikutwa amekufa huko Nchi Uingereza katika jiji la London alipokuwa akiishi katika jumba aghali la kupanga la Carlton house.

Mwamba huyo "Angel" inasemekana alikuwa ni double agent baina ya Nchi yake ya kuzaliwa Misri na Israel.

Hakika kifo chake kilijawa na utata wa nina hasa alimuua!

Soma Who killed the 20th century’s greatest spy? | Simon Parkin

Tazama:

Sasa kwa anayeifahamu vyema historia ya huyo mwamba na atuwekee hapa.

Pia,je ni kweli ndiye aliyevujisha siri ya kushambuliwa Israel kwa ndege vita za Misri?

Nawasilisha.
Huyu bwana mkubwa wayahudi hawakumpenda aliwahadaa kwenye vita ile 1973 kwa kuwapa taarifa nusu sahihi nusu uongo
 
Gogle

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,488
2,000
Mashine Ilikuwa Eli Cohen Huyu ndo aliharibu kila kitu upande wa Syria....Hawatamsahau kamwe

Neflix kuna movie yake ina episode kama nne hivi, bomba sana ukitaka kuifaidi msome kwanza wikipedia then angalia movie, utaipenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom