Naamini jpl iko nzuri Kwa kila alie jaliwa kuiona ktk pita pita zangu za kupiga vibarua sehem tofauti tofauti nimegundua hz dawa za kuongeza siku za kuishi hazitakiacha kizazi hiki salama mbaya...
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, je mwanaume anaweza akapata maambikizi kwa kunyonywa mgegedo na mwanamke iwapo ameathirika? Vp kwa mwanaume iwapo anamnyonya papuchi mwanamke ameathirika?
Wakuu nipo kwenye game LA kutafuta mtoto mwaka wa huku 2,cha ajabu,xna nukikumbuka mbegu znazopotea kichwa chaniuma,mwanzo nilikuwa na x alipata mimba yangu ,mi sikujua nikasafiri mwaka...
Nawasalimu wote,
Leo napenda kujua na kufanya kautafiki kidogo juu ya miili yetu.
Napenda kujua kama huwa UNANYOA, KUPUNGUZA au KUACHA ZILE NYWELE ZETU ZA SEHEMU ZA SIRI. Pia tufahamishane kwa...
Mpenzi wangu tumepanga nimpe mimba lakini tukifuata zile tarehe mimba hainasi. Badala yake tarehe zinabadilikabadilika.
Nishaurini nifanye nini au nitumie njia gani maana mwenyewe nakuwa naye kwa...
Hemachromatosis ugonjwa ambao unatibiwa kwa therapeutic phlebotomy
Kwa post nyingi zaidi za kushangaza, kufurahisha na kuelimisha, tufollow kwenye mitandao ya kijamii. Hapa jf, facebook...
Habari zenu wakuu
Naimani hapa wengi mmenizidi umri (shikamoon)
Me ni binti (24)Nina tatizo la kuumwa na viungo kama
Viungo vya mikono
Miguu
Kiuno
Mgongo
Yapata miez kama miez minne sasa
Lkn...
Katika mji wa Guangzhou nchini China, kuna kiwanda kikubwa zaidi cha mbu duniani, ambacho kinazalisha mbu wa kiume zaidi ya laki 5 hadi milioni 1 kila wiki.
Mbu wote wanaozalishwa katika kiwanda...
Za muda huu jamani mtoto wangu anasumbuliwa na vijipu, mara ya kwanza lilitokea nikampaka dawa ya majani likatoweka baada ya wiki mbili limetokea tena sehemu nyingi msaada pls
Habari wandugu mwenzenu ninakabiliwa na tatzo LA ucngiz wa ajabu kiais kwamba hata nikilala mapema ucku, asubuh nikitulia Kwa muda mfupi kabla tu ya SAA NNE ntasinzia .naomben msaada Kama kuna...
Habari sana wana jamii : nilikuwa naitaji msaada Wa kujuzwa kama inawezeka ikawepo dawa ya KUWA na kipara moja moja bila kunyoa naitaji kuwa na kipara cha bila kunyoa yani kiwe forever
Hiyo hiyo...
MORNING AFTER PILL NI NINI??
Morning after pill ni aina ya uzazi wa mpango ambayo inazuia mimba pindi unapokua umefanya tendo la ndoa (sex) siku za hatari(danger days) bila kinga ,ama kinga...
Habari za mda huu wakuu.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Naomba kuuliza ni sababu zipi zinazosababisha masikio kutengeneza nta/uchafu mwingi ambao hupelekea masikio kuziba..
Pia...
Wakuu heshima kwenu.
Ki msingi hasira inanizidia hapa nilipo.Nashindwa kula,kulala wala kuangalia hata screen.
Pamoja na kupata taarifa nzuri jana za mtoto wangu wa ujana hot kuwa kaongoza...