Nawasalimu wote,
Leo napenda kujua na kufanya kautafiki kidogo juu ya miili yetu.
Napenda kujua kama huwa UNANYOA, KUPUNGUZA au KUACHA ZILE NYWELE ZETU ZA SEHEMU ZA SIRI. Pia tufahamishane kwa nini Unanyoa, Kupunguza au Kuacha.
Nawasilisha..
Hapa hamna ulozi Mkuu Kozo Okamoto.
Haka ni kajiutafiti tu Mkuu.