Tiba ya masikio yanayotengeneza nta/uchafu mwingi

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,664
6,038
Habari za mda huu wakuu.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Naomba kuuliza ni sababu zipi zinazosababisha masikio kutengeneza nta/uchafu mwingi ambao hupelekea masikio kuziba..
Pia, tiba gani au dawa gani inaweza kusaidia kupunguza nta mwingi masikio kama sio kutibu kabisa.
Natarajia kupata majibu mazuri kutoka kwenu wadau.
Asante
 
Stick ya masikio toa uchafu

Ingiza maji kisha tumia stick ya masikio kuchokonoa utaondoa uchafu na utakuwa fresh
 
Back
Top Bottom