VIDONGE VYA P2 NI NINI ??DR MSUA AMEELEZA

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
225
MORNING AFTER PILL NI NINI??

Morning after pill ni aina ya uzazi wa mpango ambayo inazuia mimba pindi unapokua umefanya tendo la ndoa (sex) siku za hatari(danger days) bila kinga ,ama kinga imeharibika mfano kupasuka kwa condom nk.

JE MORNING AFTER PILL INAFANYA JE KAZI?
Kwa kifupi morning after pill hua ni vidonge ambavyo mwanamke humeza ndani ya masaa flani pindi afanyapo mapenzi bila kinga ili kuzuia mimba
na mara nyingi hufanya kazi kwa kuzuia yai lilio rubishwa lisiweze kutolewa (released)ama vidonge vingine hufanya kazi kwa kuharibu mazingira ambayo mimba hujishikiza(uterine wal)

JE INAZUIA MIMBA KWA ASILIMIA 100%
hapana kama ilivyo kwa njia nyingine za kuzuia mimba Morning after pills hazifanyi kazi kwa asilimia 100% japo uwezekano wa kushindwa kufanya kazi ni mdogo sana.

MADHARA YA KUTUMIA VIDONGE HIVI NI NINI?
Ukimeza dawa hizi unaweza jisikia
1.kichefu chefu
2.period kubadilika
3.maziwa kuuma
4.tumbo kuuma

Kwa haya na mengine mengi Kama ni mjamzito ama unatarajia kua mjamzito unaweza jiunga na
usisahau kulike page hii
www.facebook.com/drmsua
instagram nipo kwa jina la drmsua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom