tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,228
- 27,896
Wakuu heshima kwenu.
Ki msingi hasira inanizidia hapa nilipo.Nashindwa kula,kulala wala kuangalia hata screen.
Pamoja na kupata taarifa nzuri jana za mtoto wangu wa ujana hot kuwa kaongoza darasani kwa darasa la pili kati ya wanafunzi 127,lakini nazidiwa.
Chimbuko la hali hii ni kikao cha alhamisi cha job.Tatizo ni kundi moja kulazimisha watu wengine kufuata maamuzi ambayo wengine hawayataki na bila shaka si lazima mtu ayafuate.
Kuna miungu watu wanataka kuabudiwa na kwamba wao wapo sahihi ktk kila kitu.
Wengi tulipinga kabisa waziwazi,ila tangu siku ile naona halinitoki na like I wish nifanye kitu cha ziada zaidi.
Nisaidieni kupambana na kuepuka hali hii.
Asante.