Nisaidieni tafadhali....

That Gentleman

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
2,206
3,647
Yapata wiki mbili sasa, kila nikitoka kuoga huwa mwili wote huwa unaniwasha...
msaada tafadhali
 
Jaribu kuoga maji kutoka chanzo kingine na hicho unachotumia sasa uone...nunua hata yale ya lita 5 uoge uone km tatizo litaendelea zaidi ya hapo nenda hsptl
 
Yapata wiki mbili sasa, kila nikitoka kuoga huwa mwili wote huwa unaniwasha...
msaada tafadhali
Kama unajisugua na dodoki acha paka tu sabuni Bila kujisugua jisugue tu na mikono hili tatizo lilimpata ndugu yangu alikunywa mpaka dawa tukabadilisha sabuni mpaka basi Kuna mtu akamshauri asijisugue na kitambaa au dodoki tatizo kwishiney
 
okey, ngoja nifanye hivyo.
 
Jamani, nawashukuru kwa ushauri wenu. Nitayfanyia kazi kwa sababu hii hali nimeshindwa kabisa kuivumilia.
Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom