Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Ohoooo!!!Inabidi ufanye kupunguza mimi hiyo #5 inanihusu ngoja nianze kuwa nadonoa kidogo tu.Hapo naona #9 inanihusu kabisa aiseeee....
Kweli Mkuu, inabidi kupunguza aiseeeeeOhoooo!!!Inabidi ufanye kupunguza mimi hiyo #5 inanihusu ngoja nianze kuwa nadonoa kidogo tu.
Duh!!!Kwani choo kiko mbali sana?Hiyo #1 inanihusu sana kama hapa nimekaa mkojo umenibana ila naona uvivu kuinuka .
Choo kipo next door ila naona tabu tu mkuu .. hata dk moja haiishi nikitembea kwenda chooni.Duh!!!Kwani choo kiko mbali sana?
Ningekushauri ufanye haraka ukamuone Daktari mhusika.dr nikikojoa mkojo haushi Basra ya muda nikisuma unaeeza toka tena kikombe cha kahwa au nusu yake PIA NIKIMLIZA KUKOJOA MATONE UBAKIA NA UCHAFUA BOKSA UMRI 40yrs
Bia ngapi kwa siku mkuu au faru johnHapo naona #9 inanihusu kabisa aiseeee....
4 bottles of Serengeti larger = 2 Liter's of beer daily...Bia ngapi kwa siku mkuu au faru john
Nenda hspl mapema ndugu, sikitaki kukutisha lkn hzo dalili zinafanana kwa kiasi kikubwa na dalili za tezi dume na haswa ukiangalia umri wako bt dalili ni dalili tu mpaka utakapo thibitishadr nikikojoa mkojo haushi Basra ya muda nikisuma unaeeza toka tena kikombe cha kahwa au nusu yake PIA NIKIMLIZA KUKOJOA MATONE UBAKIA NA UCHAFUA BOKSA UMRI 40yrs