Dawa za kuongeza siku za kuishi ARV

gidlameck

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
523
500
Naamini jpl iko nzuri Kwa kila alie jaliwa kuiona ktk pita pita zangu za kupiga vibarua sehem tofauti tofauti nimegundua hz dawa za kuongeza siku za kuishi hazitakiacha kizazi hiki salama mbaya zaidi wengi wetu hatupendi kutumia salama na kila ck vijana wanapishana Kwa vibabu kutafuta power jeck dar ndio usiseme mara pweza mara mayai ya kware yote hii ni kutaka kuonekana fundi magungu kwenye friend match baya zaidi dada zetu wamekuwa sugu mpaka umkojoleshe haipungui dk30 sasa hapo utatoka salama kweli yaani unanyembeka wee kumfurahisha demu lkn hujui usalama wake ni mtazamo tu wa kwangu
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,855
2,000
Watu wamekuwa na kiburi na ujuaji mwingi...acha waangamie
Naamini jpl iko nzuri Kwa kila alie jaliwa kuiona ktk pita pita zangu za kupiga vibarua sehem tofauti tofauti nimegundua hz dawa za kuongeza siku za kuishi hazitakiacha kizazi hiki salama mbaya zaidi wengi wetu hatupendi kutumia salama na kila ck vijana wanapishana Kwa vibabu kutafuta power jeck dar ndio usiseme mara pweza mara mayai ya kware yote hii ni kutaka kuonekana fundi magungu kwenye friend match baya zaidi dada zetu wamekuwa sugu mpaka umkojoleshe haipungui dk30 sasa hapo utatoka salama kweli yaani unanyembeka wee kumfurahisha demu lkn hujui usalama wake ni mtazamo tu wa kwangu
 
kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
1,622
2,000
Hatari zaid ni mwenye maambukizi asiye jijua. Mtu aliye kwenye dozi kwa usahihi anaweza wapunguza wadudu kwa kiasi ambacho hata ukifanya naye ngono bila kinga unaweza usiambukizwe. Angalizo sishawishi watu kufanya ivo what I mean is Mtu Hatari ni mwenye maambukizi lakini hajijui. . Huyo ni walking bomb
 
T-Bagwell

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
1,113
2,000
Hazitakiacha kizazi salama kivipi hasa mkuu? Maana mada yako haiendani na kichwa chako cha habari
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,614
2,000
Lengo la hii mada ni kuwa ARV's zinapunguza nguvu za kiume au ni kuwa sikuhizi tatizo la nguvu za kiume limekuwa sugu?
 
gidlameck

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
523
500
Tatizo sio nguvu za kiume tatizo ni usalama kwa wale ambao hawana maambukizi hebu fikiria kama mtu mmoja mwenye maambukizi ataishi miaka 20 hai je hataambukiza wengine?
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
5,887
2,000
mi nimeelewa kuwa uwepo wa ARV unafanya wenye maambukizi kuwa na afya njema. upande wa 2 vijana wako bize kutafuta dawa ya kuwaridhisha wanawake dk 30 nzima (sasa kama akiwa na maambukizi na msuguano wa dk 30 lazima kuna kuambukizana)

tabu ya UKIMWI umewakumba hata watoto wadogo 17-23yrs na ngono inayo fanyika kwa rika hili si ya nchi hii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom