GASPER ZUBEIR
Member
- Jun 2, 2017
- 14
- 15
Habari sana wana jamii : nilikuwa naitaji msaada Wa kujuzwa kama inawezeka ikawepo dawa ya KUWA na kipara moja moja bila kunyoa naitaji kuwa na kipara cha bila kunyoa yani kiwe forever
Hiyo hiyo na ndevu zangu nikinyoa Leo kesho nakuta zimesha ota kibao alafu zinakuwa ndevu ngumu na kuwasha naitaji dawa ya kuondoa ndevu kabisa au kuzifanya zichelewe kuota mapema naitaji msaada jaman