HABARI WANA JAMII NIJUZENI DAWA YA NDEVU ZISIOTE HARAKA

GASPER ZUBEIR

Member
Jun 2, 2017
14
15
Naitaji kwa anae jua dawa ya ndevu siziote kwa haraka aweze kunijuza ili nipate msaada mana mm ndevu zangu zinawai kuota mno
 
TATIZO NI UMRI MKUU,JIKUBALI ACHIA MZUZU WA AFYA UTUNZE VEMA UTAKUWA MTANASHATI.SIO KWAMBA KUWA NA NDEVU NDO UNAKUWA MZEE.IGA KWA WENZIO KINA DJ KHALIDI
 
Usijekujaribu kuzuia nywele za sehemu yoyote ile ili zisiote, dawa zilizopo zina uwezo wa kuziba matundu ya nywele kwa juu tu ila kwa ndani zitaendelea kuota na kutafuta matundu mengine, unaweza kuzuia kwenye kidevu zikaanza kuota uso mzima n.k
 
Atakua anaitwa mandevu usoni
 
..............IGA KWA WENZIO KINA DJ KHALIDI
upload_2017-6-9_11-0-41.png
 
jinsia gan ww?navyojua wanawake ndio hawataki ndevu na sitaki kuamin ww n mwanaume kama kweli shame on you
 
Umaskini ndo unatufanya tuchukie kuwa na ndevu nyingi kutokana na bajeti ya kuzinyoa kila wiki au baada ya siku tatu
 
Usijekujaribu kuzuia nywele za sehemu yoyote ile ili zisiote, dawa zilizopo zina uwezo wa kuziba matundu ya nywele kwa juu tu ila kwa ndani zitaendelea kuota na kutafuta matundu mengine, unaweza kuzuia kwenye kidevu zikaanza kuota uso mzima n.k
ha ha kumbe
 
Back
Top Bottom