Habari za wakati huu members.
Jamani, kwenye sura yangu (shavuni) kuna kiuvimbe kidogo kwa ndani, yaani unaweza kujua ni kivimbe kwa kugusa sehemu husika na katikati kuna kitundu kidogo hivi...
Hello wana Jf team,
Naomba kuuliza mwenye kujua hospitalI wanayofanya operation ya kuondoa mtoto jicho please naomba mnijuze, sio KCMC lakini maana bei zao zinaua ni 500,000 kwa jicho moja...
Katika mihangaiko ya hapa na pale nimeona kitu hiko hapo juu, ambacho kweli sijawahi kupata ushuhuda/ habari za maana ili kukiamini.
Lakini nikakumbuka kuwa mwaka fulani niliambiwa kuwa katika...
Waungwana samahani nina shida sana, nasumbuliwa na maumivu ya kiuno yaani kinauma balaa. Kukaa tabu, kuinama taabu, shida hasa ni nini? Wadau mbalimbali wanadai dawa yake ni kupiga show sasa mbona...
Habari,
Nimekuwa na tatizo la tumbo kuunguruma sana kiasi cha kusikika hata kwa mtu aliye pembeni yangu. Hii hali inatokea muda wote nikiwa na njaa na hata nikiwa nimeshiba.
Mwezi mmoja...
Ukiishi mpaka kufikia umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu. Kutokana na huduma bora za afya wengi hufikia sherehe ya miaka 50, 60, 70, 80 hata 90.
Ukifika miaka 50 hata kama huna tatizo lolote...
Je kuna mtu mwingine mwenye hili tatizo kwa hapa Tanzania? Kwa sababu sijawahi kusikia wala kuona nimeenda hata baadhi ya hospitali kuna madaktari hawalijui hili tatizo. Mimi nimegundua kwa...
Habari wanajamvi?
Mimi nina tatizo naomba msaada wa ushauri.
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa mjini Zanzibar. Kazi zangu hazihusiani na ukaaji wa kwenye jua.
Sasa nimekuja kujigundua...
Nimepatwa na kizunguzungu mara mbili ndani ya wiki tatu na hadi sasa sijajua chanzo ni nini. Kuna rafiki yangu mmoja kaniambie eti ni shambulizi la moyo (heart attack).
Naomba wataalamu wanijuze...
Wanajukwaa poleni na majukumu.
Naombeni msaada wenu wa tiba na mawazo kwa huu ugonjwa. Mama yangu kapatwa na tatizo la kutokwa damu puani ni mwezi sasa na umri wa miaka 50+ lakini bado ana nguvu...
Kuna siku nilikuja na Uzi wa kwanini dokta wa Ultrasound hakutaka kuniambia jinsia za wanangu. Wengi mlitoa comments zenu, nikaridhika nazo.
Kiukweli tarehe ya matazamio ya kujifungua tuliambiwa...
Najitahidi kung'oa ujinga wa kurithi ila kila siku nakutana na maswali ambayo hayana majibu nyororo. Kuna kitu huwa inasumbua sana watoto mtaani inaitwa "Mchango". Wanadai haina dawa ya hospital...
Wadau, jana nimeona wadudu dizaini ya funza lakini wenyewe ni wakubwa ndani ya fuvu la mbuzi baada ya kumchinja ili kupata msosi.
Nataka kuelewa wale wadudu wanaingiaje ndani ya fuvu la mbuzi na...
Jamani habari za mchana,
Juzi nilikuwepo Arusha sasa kuna dada mmoja ni mwenyeji wa pale ni wakala wa kampuni ya FOREVER. Aliniletea baadhi ya bidhaa zao na akanishawishi kuzinunua akidai ni...
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu...
Salamu wanabodi,
Nina dada yangu nimempeleka maabara asubuhi ya leo na kupimwa mkojo na majibu kuonyesha kuwa ana kisonono (gonorrhoea) na kwa bahati mbaya ana ujauzito wa miezi 8.
Sasa je, dawa...
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.