Esrom makono
Senior Member
- May 11, 2019
- 121
- 76
Waungwana samahani nina shida sana, nasumbuliwa na maumivu ya kiuno yaani kinauma balaa. Kukaa tabu, kuinama taabu, shida hasa ni nini? Wadau mbalimbali wanadai dawa yake ni kupiga show sasa mbona hizo show hata nikipiga sioni mafanikio? Kama kuna mtu anafahamu dawa mbadala naomba anijuze kwakweli hata msaada wa mawazo pia.