Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari Zenu Jf Members? kuna maswal mengi sana huwa najiuliza inakuwaje watu wanafanana sura na ili hali hawatoki ukoo mmoja, unakuta labda 50 cent kafanana na mtu kutoka Kenya. mpaka msemo wa...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu, Hicho ni kipimo cha haraka cha kupima Malaria. Na kimepigiwa promo sana na Serikali na sasa kinatumiwa karibu kila mahali. Shida niliyogundua , wengi wakipima kwa kipimo hiki huwa -VE...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Nasikia maumivu ya koo yaani kama linachoma hivi. Msaada wenu shida itakuwa nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu nimerudi kwenu tena, nilikua na kasumba napiga bao tatu ndani ya dk.20-30, ila leo na siku za hivi karibuni mambo yamekua magumu. Yaani, bao tatu, Leo kidogo nifie kwenye uke wa mtu, la...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za week end wana jamvi. Nasumbuliwa na tatizo la muwasho kwa muda wa zaidi miaka 10 sasa. Hua napata muwasho wa ajabu sana mara baada ya kukoga iwe asubuhi, mchana au usiku. Nikinyeshewa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, Kuna kipindi nilikuwa naumwa sana kiuno, nikaenda kupima mkojo kuangalia kama nina tatizo la kibofu na mfumo mzima ya mkojo. Majibu yalipotoka nikaonekana nina UTI nyingi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni kuwa nilichoma chanjo ya HPV awamu ya kwanza na nikaambiwa nirudi kuchoma awamu ya pili baada kama ya miezi 2 au mitatu. Baada ya hapo nilirudi hospital wakanambia dawa imeisha nisubiri sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina tatizo la nyonga imenishika toka jana. Nina kawaida yakufanya mazoezi leo sijafanya kama ilivyo kawaida. Naomba ushauri.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam sana wakuu katika JF. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la korodani moja kuvimba tangu utotoni na hata kupanda juu maeneo ya kibofu kiasi kwamba hata kutembea inakuwa ngumu, hadi uirudishe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kufanya tendo la ndoa kila siku na mke wako kunaweza kuathiri upatikanaji wa mimba kwa mkeo?
1 Reactions
0 Replies
972 Views
Jamani kwenye kusoma soma nimekutana blog wameandika vitu vizuri sana kuhusiana na vyakula vya kutumia ili kupunguza uzito. Wanasema diet hii inasaidia kuepusha magonjwa ya moyo, diabetes...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau, nina mtoto wa miezi minne (4). Na huwa anapakwa mafuta ya nazi yanayoitwa MINARA. Na sabuni anayoogeshewa ni baby Johnson. Na kabla ya Baby Johnson, tulikuwa tunatumia hizi sabuni za...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nashida mmoja tu kubwa nipo kwenye program yangu ya kupunguza mwili( na maanisha sina mtaalamu wakuniongoza) huwa nafanya mazoezi kwa muda wa lisaa limoja hadi na nusu ila si chini ya lisaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi kufanya tendo la ndoa kila siku na mke wako kunaweza kukaathiri upatikanaji wa mimba?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za saiz ,nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kushindwa kucheua pamoja na maumiv makali ya kichwa na mwili kwa ujumla haswa haswa mgongo upande wa kulia na kushoto ,na mara nyingi imekua kama...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa wanawake UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi...
1 Reactions
1 Replies
14K Views
Hapa inahisishwa maradhi yote ya tumbo ikiwemo vidonda sugu vya tumbo pamoja na wenye matatizo ya gesi tumboni. Tafuta majani ya Songwa au (Msongwa) majani kiasi tu loweka kwa muda wa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nimepata tatizo la kukazika misuli ya njia ya haja kubwa, hali inayopelekea kupata haja kubwa kwa shida sana na tumbo kuuma kutokana na kinyesi kubakia katika utumbo. Yote haya yametokana na...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Mbukwenyiii wadau., Jamani naombeni msaada, ni mafuta gani mazuri kwa masaji?? Na upatikanaji wake. Nataka niwe professional masseur, lakini ni kwa ajii ya mke wangu tu. Mke wangu anapenda...
2 Reactions
59 Replies
68K Views
160 Uses for Coconut Oil 1. Age Spots (also known as liver spots) – applying coconut oil directly to the age spot will help it fade. 2. After Shave – coconut oil will help heal your skin after...
3 Reactions
30 Replies
66K Views
Back
Top Bottom