Kiuvimbe kigumu kipo mguuni

Kiuvimbe kigumu kipo mguuni

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Ndugu habari za leo, nimekuwa naishi na kipele mguuni kwa muda mrefu, kimekaa kama kijipu, kwa muda mrefu. Baada ya kuishi na hali hiyo toka 2006, hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kunipa maumivu yenye asili ya kama kuchoma sindano kwa muda mfupi na kuacha.

Nimepanga kwenda hospitali Ijumaa hii kwani nitakuwa free. Nilikuwa naomba elimu yenu kama kuna mtu ana ufahamu na hali hiyo, naomba kuwakilisha.
 
Back
Top Bottom