Naomba msaada wa tatizo la kutokwa damu puani

chama mpangala

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Messages
257
Points
250

chama mpangala

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2015
257 250
Wanajukwaa poleni na majukumu.
Naombeni msaada wenu wa tiba na mawazo kwa huu ugonjwa. Mama yangu kapatwa na tatizo la kutokwa damu puani ni mwezi sasa na umri wa miaka 50+ lakini bado ana nguvu zake vizuri tu.

Ameenda hospitali kuna sindano amekuwa akichoma lakini haijasaidia.
 

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Messages
1,816
Points
2,000

drilling

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2016
1,816 2,000
Mwambie akapime blood pressure inaweza kuwa blood pressure inapanda sana ndio sababu damu inatoka puani hiyo ni bahati yake kama damu haitoki puani na pressure imepanda huwa inapasua mishipa na kusababisha ulemavu au kuwa kwenye coma
 

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
9,487
Points
2,000

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
9,487 2,000
Mwambie akapime blood pressure inaweza kuwa blood pressure inapanda sana ndio sababu damu inatoka puaani hiyo ni bahati yake kama damu haitoki puani na pressure imepanda huwa inapasua mishipa na kusababisha ulemavu au kuwa kwenye coma
Ushauri mzuri, ni vizuri akaanza na hili haraka kama atakuwa hana shida ndio atafute matibabu mengine. Ana uzito gani?
 

plock

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Messages
323
Points
500

plock

JF-Expert Member
Joined May 20, 2016
323 500
Hili tatizo limekuwa likinishika sana ninaweza nikawa nimeinamisha kichwa nasikia damu zinatoka au wakati wakulala pia zinaweza zikatoka tu nikakuta shuka limekuwa na damu. Kwa sasa imepungua hali natumia Ethredren nasal drop ikianza inatulia kwa muda mrefu bila kutoka tena. Ajaribu Ethredren.
 

Forum statistics

Threads 1,379,933
Members 525,627
Posts 33,761,471
Top