Naomba msaada wa tatizo la tumbo kuunguruma isivyo kawaida

Nkondo 2

Member
Joined
Oct 10, 2016
Messages
92
Points
125

Nkondo 2

Member
Joined Oct 10, 2016
92 125
Habari,

Nimekuwa na tatizo la tumbo kuunguruma sana kiasi cha kusikika hata kwa mtu aliye pembeni yangu. Hii hali inatokea muda wote nikiwa na njaa na hata nikiwa nimeshiba.

Mwezi mmoja uliopita nilienda hospitalini kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo. Baada ya vipimo ikabainika kuwa nina Amiba hivyo nikapewa dose iitwayo metronidazole ambayo nmekunywa hadi kuimaliza lakini hali imerudi vilevle.

Naomba mwenye ushauri au utaalaam juu ya hali kama hii anisaidie.
 
Joined
Nov 5, 2019
Messages
8
Points
45
Joined Nov 5, 2019
8 45
Habari,

Nimekuwa na tatizo la tumbo kuunguruma sana kiasi cha kusikika hata kwa mtu aliye pembeni yangu. Hii hali inatokea muda wote nikiwa na njaa na hata nikiwa nimeshiba.

Mwezi mmoja uliopita nilienda hospitalini kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo. Baada ya vipimo ikabainika kuwa nina Amiba hivyo nikapewa dose iitwayo metronidazole ambayo nmekunywa hadi kuimaliza lakini hali imerudi vilevle.

Naomba mwenye ushauri au utaalaam juu ya hali kama hii anisaidie.
*SIRAAJUL MUNIYR HERBAL MEDICINE*
Tunakuketea dawa mujarabu kwa matatizo mbali mbali kama yalivyo orodheshwa hapo chini ,
Dawa hii si nyingine isipokua ni mizizi ya mti uitwao *MKWIZINGWI*

INATIBU MAGONJWA YAFUATAYO
1.Ngiri aina zote
2. Chango
3. Tumbo kuunguruma
4. Mgongo
5. Kiuno
6. Maumivu ya korodani
7. Maumivu ya tumbo

MATUMIZI
kijiko kimoja (cha unga wa mizizi ya mkwizingwi ) kwa maji moto kikombe 1×2 siku 7

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbali mbali wasiliana nami
what's app /call
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 
Forum statistics

Threads 1,363,999
Members 520,596
Posts 33,303,346
Top